SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Hatua 3 Rahisi Za Kung’arisha Uso
Quick Tip

Hatua 3 Rahisi Za Kung’arisha Uso 

Sote tunapenda kuwa na ngozi nyororo yenye mvuto, lakini wengi wetu ni kitu gani sahihi cha kufanya ili kuweza kupata muonekano huo, leo BintUrembo amekuletea hatua tatu rahisi unazoweza kufanya ili kuweza kung’arisha uso wako

1. Tumia Facial Cleanser kusafisha uso wako. Ni nzuri zaidi kuliko sabuni ya vipande. Inasaidia sana kuondoa mafuta, vumbi, bakteria na vitu vingine vinavyoifanya ngozi yako ifubae


2. Tumia Scrub au Exfoliation Mask. Hii inasaidia sana kuondoa uchafu zaidi na ngozi iliyozeeka au kufa na kukufanya ufubae. Baada ya hapo utang’aa na kupendeza


3. Tumia losheni nzuri inayoendana na ngozi yako. Hii itakusaidia kulainisha ngozi yako na kuifanya isikauke, isipauke na kusinyaa.
Mwisho kabisa Jiridhishe usalama wa kipodozi husika kabla ya kutumia,

Tafuta msaada wa mtaalamu!

Related posts