Beret ni accessory ambayo ina trend kwa sasa, we have seen all leather beret, ukiachana na fabrics kuna rangi mbalimbali tumeona lakini kilicho tupendeza au iliyo tuvutia zaidi ni hii beret ya kitenge kutoka kwa mbunifu mia_design, Mia ni mbunifu wa accessory za ki- Afrika ana tumia kitenge kubuni urembo mbalimbali mbali kama mikufu, bangili, hereni, mikoba nakadhalika.
African fashion inaenda kimataifa kwa sasa tunaona wabunifu wakijaribu kufanya local fabrics zetu ziwe kimatafa zaidi na tunapenda tunacho kiona, tumependa jinsi Mia alivyo kuwa fasta ku catch up na trend na kutoa kitu cha kipekee kabisa, tumepata nafasi ya kuongea na Mia na haya ndiyo aliyo tuambia.
Afroswagga: Nini kuli kuinspire kubuni hii beret?
Mia : Kitu cha kwanza niliona berets zimerudi kwenye trend in fashion lakini niliona kama kuna kitu kinakosekana sababu karibia berets zote zinakuwa na rangi moja bila mchanganyiko wa rangi tofauti tofauti in one beret, so nikaona nitengeneze beret kutumia kitenge ili kujaza gap la colour mixing ktk one beret and then since beret maybe practical optional for cold weather nikaona its better being a fashionable outbox kind a person ili kuepuka limits za uvaaji ktk outfits mbalimbali,na isiwe for cold weather fashion trend tu since it works with almost anything, from casual looks, to your fancy clothes anytime of day!
So after that ilibidi nifikirie stylist atakayenisaidia kufanya concept nzima ipatikane bila kuharibu coz i can design maybe and style but there are people who are professional stylist and good at their work which made me nimtafute joujou na kuomba nifanye nae kazi kulingana na kwamba ni stylist anayefanya kazi vizur base on fashion trends.
Afroswagga: Ilikuaje kufanya kazi na Joujou?
Mia: Nimepata experience kubwa na nzuri kufanya kazi na joujou coz first she is kinda stylist ambaye hawez kuacha idea nzuri ipite bila kufanyia kazi which means hana delays, alafu ni communicative pale mnapofanya kazi it was my first time to meet and work with her but i felt like nimefanya nae kazi mara nyingi pia she is a person that everyone could wish to work with as she likes to give some advice base on kazi mnayoifanya.
Zaidi nimejifunza kwamba designers we need to work with stylist ili kufanya watu/customers wajue how are they going to wear the designs otherwise we will end up with fashion dilemmas
Afroswagga: unawaambia nini wa Tanzania kuhusu kuvaa na ubunifu wa kitenge?
Mia: So kwa upande wa vitenge, vinaendelea kuwa na trend nzuri coz we see cerebrities wengi in Africa pia wamekuwa wakithamini vitenge in fashion way najaribu kuwashauri watu kwamba culture preservation n nzuri na kitenge ni sehemu ya African culture preservation so wabunifu na wavaaji tunavitu vingi ambavyo tunaweza kutumia vitenge na kuvipenda
hasa hasa kwa wabunifu kitenge ni kimoja/kilekile unaweza kukikuta sehemu tofauti tunachotakiwa nikufanya utofauti ktk ubunifu ili kuwafanya wavaaji wakipende kitenge hivyo kitazidi kuwa on trend but tukifanya kubuni kwa mazoea wavaaji watachoka coz kutakuwa hamna jipya thn tutapoteza kitenge trends
All in all thank you so much for featuring me in your blog you guys are incredibles mnatusaidia kuwa karibu zaidi na ulimwengu wa fashion ili kujua nn kipunguzwe na nn kiongezwe… I love your blog
Asante Mia kwa kukubali kufanya interview na afroswagga.
Designed: @mia__designs
Modelled/styled: @joujoustyle
Shots: @kebby_designs
Assists: @msigwatz
.
Related posts
3 Comments
Comments are closed.
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
… [Trackback]
[…] Info to that Topic: afroswagga.com/snapped/joujou-nyaki-rocking-a-kitenge-beret-by-mia-design/ […]
… [Trackback]
[…] Here you will find 17851 more Information on that Topic: afroswagga.com/snapped/joujou-nyaki-rocking-a-kitenge-beret-by-mia-design/ […]
… [Trackback]
[…] Read More Info here on that Topic: afroswagga.com/snapped/joujou-nyaki-rocking-a-kitenge-beret-by-mia-design/ […]