SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Make Up

Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry 

Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili matatu kutoka kwake kama mvulana kwenye hii tasnia ni kipi anapitia.

AS:  Unaweza kutuelezea safari yako na make up…ulianzaje?

ME: I never had the slightest idea I’ll become a makeup artist.
I applied kazi atsoko nkiwa na nia ya kuwa nail technician lkn Nlivofika atsoko kukawa hamna slots na nail technician so nkawa trained as a sales person wa vipodozi atsoko.
slowly nkaanza kupenda makeup nkawa nakesha youtube nkiangalia tutorials za makeup alafu nkiingia kazini nawaomba wadada tuliopangwa wote dukani niwapambe (kuwafanyia mazoezi ) Kutoka hapo ndo watu wakaanza kuwa wanapenda kazi yangu wafanyakazi wenzangu wakawa wananipa moyo kwamba naweza kupaka makeup vizuri na hio ikanipa moyo wa kuendelea kufanya mazoezi mpka kufikia leo

AS: Kwanini makeup?

ME: Naweza nikasema makeup gave gave me a purpose… immediately nilivyoanza kupaka makeup i fell in love na makeup.. ili awaken the artist in me which i never new was there (another Eddie) Mimi sikuwa mtu wa watu so it helped me connect na watu
Also at then male artist walikuwa hamna hapa so i took pride in being the one to show people its okay

As: Men and make up. Kuna brands zipi a guy aweza tumia wapi? Aina gani?

ME: Kwenye makeup nahis any brand a guys anaeza tumia … wanasema makeup is a one size fits all… tofauti na skin care products where kuna vya wadada na vya kiume makeup kwangu naona ni makeup.

AS: Mapokeo yako katika tasnia hii yapoje, namna ambavyo makeup artist wengine walivyokupokea?

ME: kusema ukweli mapokezi yalikuwa mazuri. Being a male artist just made me different kidogo na wao kwa sababu majority ni wanawake ila walinipokea vizuri. Actually wengi ni marafiki sasa


AS: Vipi kuhusu wateja wakijua kwamba ni mwanaume anaewapaka makeup huwa wanapokeaje?

ME: Wengi wanashtuka, unakuta mtu anapause anakuuliza wewe ndo unapaka makeup?? Nkajua ni mdada,Asilimia kubwa wananiambia ni mara yao ya kwanza kupambwa na mkaka Lakini mwishoni wanapenda na kufurahia makeup yao and thats all that matters

AS: Ni ugumu gani umepitia toka umeanza kujishughulisha na upakaji wa makeup?

ME: Naweza sema ugumu ni pale ambapo naamua kuwa creative with my own face …
Watu wanakuwa hawaelewi am an artist and its part of art watever it is i do especially my dad alikuwa haelewi kabisa najichora nini until i had to sit na yeye nimueleweshe.

AS: Makeup artist gani ana ku-inspire Africa na Duniani?

ME: @bibyonce @makeupbymario @raphaeloliverofficial

As: Mtu gani maarufu ambae umeshawahi kufanya nae kazi na ukahisi ameinua career yako?

ME:  Mtu maarufu aloinua career yangu na kunifanya makeup by eddie ni @ireneuwoya8 Uwoya ndo alinishika mkono na kuikubali kazi yangu na without asking for anything in return akanifanya julikana na watu wengi sana .. am ever greatful to her

AS: Ni jambo gani ulishawahi kukutana nalo katika kazi yako na huwezi kusahau?

ME: Nilichkua tender ya makeup na kufunga gele although then sikuwa najua kufunga lemba vizuri… i still cringe nikiangalia lemba nililomfunga dada wa watu…popopte alipo anisamehe

As: Lolote ambalo ungependa kuwaambia wanaume wanaopenda kufanya hii kazi lakini wanashindwa

ME: Do what u got to do. Usiskilize maneno ya watu bacause pple will always talk.. ni kazi nzuri ina heshima na inakupa kipato so as long unapata rizki yako no one should turn u down… watakushangaa mwanzo afu baadae watakushangilia…
Hii kazi sio ya wadada tu anybody anaeza akafanya
.

Related posts

2 Comments

  1. Best DMT shop Melbourne

    … [Trackback]

    […] Info to that Topic: afroswagga.com/snapped/meet-eddie-a-young-male-makeup-artist-in-a-female-dominated-industry/ […]

  2. ไซด์ไลน์

    … [Trackback]

    […] Read More on that Topic: afroswagga.com/snapped/meet-eddie-a-young-male-makeup-artist-in-a-female-dominated-industry/ […]

Comments are closed.