Zikiwa zime salia siku kadhaa ifikeĀ  siku yake ya kuzaliwa, mzazi mwenzie sugu aitwae Faiza Ally awaomba mashabiki wake wampe wazo la avae nini katika siku hiyo. Faiza ambae amezoeleka kwa vivazi vyake vya kuacha watu midomo wazi ameomba ushauri huo katika ukurasa wake katika mtandao wa Instagram. mwaka jana Faiza alisheherekea siku yake hio kwa kuvaa pampers kama watoto wadogo wanavyo fanya alijitetea kwa kusema hakutaka gharama je safari hii ata kuja na nini?

daipa2

Haya ndio aliyo yaandika Faiza katika ukurasa wake wa Instagram

faiza insta

 

Baadhi ya picha za Faiza na viwalo vyake katika matukio tofauti tofauti

ksn (1)

faiza na shati tupu katika ZariĀ  all white party

unnamed

Faiza katika Friday Night Live

2

Faiza katika Kili Music Awards