Spotted Beauty Looks From Last Week
Iwe walikuwa kazini, kwenye mitoko na wapendwa wao au wamejipaka tu kwaajili yao wenyewe kwaajili ya nafsi zao, watu hawa maarufu walionekana kwenye mionekano ya kuvutia na makeup zao. Tumependa tulichokiona na efforts wanazotumia makeup artist kuwafanya waonekane warembo bila kupoteza ule urembo asilia wao….
Beauty Looks From Last Week
A round of applause kwa makeup artist na hair stylist wa Tanzania, we said it once and we will say it again makeup artist & hair stylist wanajitahidi sana katika kuhakikisha sekta yao inakua. Ukiachana na sekta hii kukua na kuwa na upcomings wengi bado…
Make Up Looks From Wema Sepetu, Anjella, Zuchu & Others
Kama kuna sekta tupo proud nayo kwa sasa ni sekta ya Makeup, makeup artist wanajituma sana kuhakikisha wateja wao wanaendana na makeup zao sio kama zamani mtu mweusi anapakwa makeup ya mtu mweupe. Well last week tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamepakwa makeup na makeup…
Images From Ally Rehmtullah Kwetu Kwetu 2020 Event
Jumamosi iliyopita mbunifu Ally Rehmtullah alikuwa na event iliyoitwa Kwetu Kwetu ambapo alituonyesha collection yake ya kufungia mwaka. Ally huwa anatoa collection moja tu kwa mwaka na huwa anaifanyia event kubwa kabisa. Mwaka huu alikuwa na hii kwetu kwetu collection. Well tumekuletea picha za matukio…
Beauty Looks Of The Week From Elizabeth Michael, Wema Sepetu And Others
Japokuwa wanasema tabasamu inanguvu kuliko make up, lakini tunajua makeup nayo ina ujazo wake katika muonekano kwa wote mwanamke na mwanaume. Week hii tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa face beaten well lets say nani na nani ambao wametuvutia na looks zao. Wema Sepetu was dolled…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…