SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Reviewing Dodo Music Video By Ali Kiba 

Ali Kiba aliwa-surprise fans wake kwa kuachia video ya wimbo wake mpya uitwao “Dodo”, katika video hii mwanadada Hamisa Mobetto ametumika kama video vixen. Kabla hatuaenda kwenye review yetu kwanza tuseme tu hongera kwa Ali Kiba na team yake kwa kuona umuhimu wa kutumia stylist’s,…

Mitindo

Tetema Music Video Fashion Review 

Ooh mama Tetema, Afroswagga tetema. Well wasanii Rayvanny na Diamond Platnum wameachia video ya nyimbo yao kali, TETEMA. Stylists waliotumiwa ni Noel Ndale, Vaazi pamoja na Macrida Joseph ambao tumewaona wakistyle video nyingi za WCB. Kila tuonapo alert ya video toka WCB tumesharidhika kukutana na…

Mitindo

Mvumo Wa Radi By Ali Kiba 

Mwanamuziki Ali Kiba ametoa wimbo wake mpya uitwao mvumo wa radi, ni wimbo wa mapenzi unaohamasisha kupendana zaidi regardless unapotokea. Well leo tunafanya review ya wimbo huu upande wa video hasahasa katika mitindo (fashion) kuona je yaliyomo yamo na kipi cha tofauti tulicho kiona katika…