SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Copycatting Much? 

Mwaka jana mwezi wa tisa Queen Bee au kwa jina lake la kuzaliwa Beyonce alitu-bless na tour ya Otr 11 ambapo ukiachana na show zake kusifiwa na ku-trend Beyonce alianzisha trend kadhaa za mavazi ikiwepo kuzirudisha kwenye trend hizi Cartwheel hat, alizivaa mara kwa mara…

Mitindo

Who Wore What At Wasafi Festival 2018 

Juzi jumamosi label ya muziki ya Wasafi Classic Baby ilizindua Wasafi Festival ambapo ni kama concert inayo wahusisha wasanii mbalimbali ku-perform na kwa mara ya kwanza ilifanyika mkoani Mtwara, kama ndio mara ya kwanza kwa hiki kitu kufanyika we expected more kutoka kwa wanamuziki ambao…

Mitindo

Does Fashion Knows Age? 

Tunaishi katika ulimwengu ambao kila kitu kina limit yake,ukifikia umri fulani basi kuna baadhi ya vitu vinapashwa uviache kwa maana umri wako wa kutumia hivyo vitu umepita, kuna vile ambavyo vina make sense na kuna vile ambavyo vinatufanya tufikirie mara mbili kweli usifanye kitu fulani…

Mitindo

Tanzania Fashion Influencers Are You For Real? 

Tunadhani muda umefika wa kuongelea kuhusu fashion influencers kutoka Tanzania, kuona kwamba watu maarufu wanajaribu kufanya vitu tofauti katika nyanja za mitindo its real is a relief kuona tunaelekea pazuri, kwa sasa tunaona ukuaji katika fashion influencers watu mbalimbali maarufu na wa ambao wapenzi wa…

Mitindo

Wema Sepetu Wore A Sad Outfit Ever 

Wakati tuna celebrate watu maarufu mbalimbali wakiwa wana upgrade mionekano yao seems like Wema yeye ameamua kuwa vice versa, akiwa anakuja na project kubwa mbili sisi tulitegemea kuona her look itaendana na kitu ambacho anakuja nacho but oh well wanasema “husipigie mahesabu pesa isiyokuwa mfukoni…