SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Images From Ally Rehmtullah Kwetu Kwetu 2020 Event 

Jumamosi iliyopita mbunifu Ally Rehmtullah alikuwa na event iliyoitwa Kwetu Kwetu ambapo alituonyesha collection yake ya kufungia mwaka. Ally huwa anatoa collection moja tu kwa mwaka na huwa anaifanyia event kubwa kabisa. Mwaka huu alikuwa na hii kwetu kwetu collection. Well tumekuletea picha za matukio…

Mitindo

Muonekano Mpya Wa Duka La Mbunifu Ally Remtullah 

Jumamosi hii tuliweza hudhuria ufunguzi wa Ally Rehmtullah’s store baada ya matengenezo makubwa. Toka mwaka jana tuliweza ona kipupgrade baada ya kuingia katika partnership na Flygle NA Hightech wear. Katika ufunguzi huu nani ni nani wa tasnia ya ubunifu na mitindo walijumuika kuungana na Ally…