6 Best Looks We Spotted Last Week
The girls been serving looks, from casual to occasional wear, week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa kwenye mionekano mbalimbali kutokana na sehemu walizokuwa wanaenda, as usual wengi wao walikuwa wamependeza kuanzia nywele, makeup, accessories, mavazi mpaka viatu wazungu husema head to toe. Baadhi ya…
Angie Mtatiro Shares Tips On How To Walk In High Heels
Angel Alfred Mtatiro ni mshindi wa pili katika Miss Tanzania 2022/2023, ni moja kati ya ma’miss wenye mwendo wa kipekee hasa pale akivaa viatu virefu, mwendo huu tuliuona katika Jukwaa la Miss Tanzania umetuvutia na tukaona sio mbaya kama tukifanya nae mahojiano akatupa tips chache…
Kongole Zetu Kwa Top 3 Ya Miss Tanzania 2022
Kama ambavyo wakiharibu tunasema basi pale wanapo fanya vyema wasifiwe pia, Top 3 ya Miss Tanzania 2022 inastahiki pongezi, toka wapokee taji hili wamekuwa wakijitahidi sana kuonekana vyema na kwamba wanastahiki taji hili. Tunapenda namna wanavyo jibeba (carry) kuanzia mionekano yao, mavazi, viatu, makeup namna…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…