Beauty Looks From Last Week
Last week glam code was soft and effortless, ikiwa week ilikuwa tulivu hakukuwa na event yoyote ya kuhudhuria watu maarufu walikuwa na look za kawaida ambazo ni za kila siku na sio zile za mitoko. Well ukiachana na makeup lakini pia tumeona ya nywele ikiwa…
Makeup Looks Spotted Last Week
Last week kulikuwa na mengi kuanzia birthday za watu maarufu mbalimbali, mitoko ya hapa na pale na wengine waliamua tu kujipendezesha. Well tumeona kwasasa watu maarufu wengi hawapost full looks lakini wanahakikisha kupamba page’s zao katika mitandao ya kijamii kwa ku-post beauty looks zao. Week…
Anjella’s Birthday Photoshoot Outfit Review
Anjella mwanamuziki kutoka katika label ya muziki konde gang hizi juzi amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, na kama ilivyokawaida ya watu maarufu wengi siku hii huwa wanaachia picha zao walizozipiga kwa ajili ya kutumiwa kuwatakia kheri katika siku yao ya kuzaliwa. Anjella nae hakuwa nyuma…
Anjella Anahitaji Stylist ASAP
Lebo za muziki Nchini zimekuwa zikisaini wanamuziki na kuwapa umaarufu,mikufu na magari lakini wanasahau kuhusu mionekano, Anjella ni moja kati ya wasanii waliopo chini ya label kubwa ya muziki Nchini Konde Gang lakini muonekano wake unaongea tofauti kabisa. Anjella anahitaji a whole wardrobe detoxing her…
Make Up Looks From Wema Sepetu, Anjella, Zuchu & Others
Kama kuna sekta tupo proud nayo kwa sasa ni sekta ya Makeup, makeup artist wanajituma sana kuhakikisha wateja wao wanaendana na makeup zao sio kama zamani mtu mweusi anapakwa makeup ya mtu mweupe. Well last week tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamepakwa makeup na makeup…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…