Reviewing The Kid You Know Album Release Looks
Jumamosi iliyopita ilikuwa album release ya msanii Marioo, ambapo aliamua kufanya event pale Mlimani City na kuhudhuriwa na watu maarufu na fans wake. Well kama kawaida yetu tuliangalia nani amevaa nini na Je kapendeza au lah? Bado tunaona kuna tatizo la kujua cha kuvaa kutokana…
Beauty Looks From Last Week
Kama kuna kitu ambacho watu maarufu hutulia mkazo ni mionekano yao, as a star you need to bring your A game off & on the screen, ikiwa una watu wanaokufuatilia basi unahitajika kuonekana vizuri kuanzia mavazi mpaka makeup zako. Lakini si tu makeup bali pia…
Reviewing Haji Manara’s Birthday Party Looks
Its Capricorn season kwasasa watu walio zaliwa January wanasherekea kumbukumbu za siku za kuzaliwa kwao na mmoja kati yao ni Haji Sunday Manara a.k.a Dela Boss au El Buggati. Haji amefanya sherehe yake katika ukumbi uliopo Mlimani city, tupo hapa kukupa review ya nani alivaa…
Reception / Wedding Guest Dresses Inspiration From Aunty Ezekiel
Aunty Ezekiel anakuja moto, hatujui kama ndio gym, diet au surgery imejipa ila kwasasa ana body fulani inaita na amekuwa aki-slay muonekano wake huu mpya. Aunty ameonekana kuwa sana sana ana slay kwenye maharusi na sehemu mbalimbali anazo alikwa well leo tunakuletea 4 looks kutoka…
Wedding Guest’s Looks From Nandy & Billnass’s Wedding
Week iliyopita Jumamosi ya tarehe 16.7.2022, Mwanamuziki Billnass na mpenziwe Nandy walifunga ndoa, na ni moja kati ya ndoa ambazo zimetikisa Nchi kwa namna moja au nyingine. Ikiwa ni harusi ya watu maarufu basi watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika shehere hii na hapa tunaangalia wahudhuriaji…
Aunty Ezekiel And Queen Darleen Channeling Their Inner Kim K In These Pregnancy Outfit
Wanadada Aunty Ezekiel Na Queen Darleen ni wajawazito kwa sasa, na wote wameonekana kujipenda katika ujauzito wao na wamekua wakituonyesha mionekano tofauti tofauti. Week hii wote wawili walikuwa kwenye hafla ambazo walihitajika ku-dress up Aunty alikuwa na uzinduzi wa reality tv show yake inayoitwa “MAMA…
Aunty Ezekiel, Lulu Diva, Hamisa Mobetto And Others In Statement Jewelry Trend
Urembo ni kitu muhimu kuwanacho hasa katika ku-elevate muonekano wako, wakati kuna aina nyingi za urembo ndogo ambazo hizi huwa zinavaliwa kama hutaki makelele mengi na zile kubwa ambazo zina draw attention. Well kwa sasa imeonekana watu maarufu wengi wanatumia statement accessories hasa katika photo…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…