Beauty Looks Of The Week From Elizabeth Michael, Wema Sepetu And Others
Japokuwa wanasema tabasamu inanguvu kuliko make up, lakini tunajua makeup nayo ina ujazo wake katika muonekano kwa wote mwanamke na mwanaume. Week hii tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa face beaten well lets say nani na nani ambao wametuvutia na looks zao. Wema Sepetu was dolled…
The Best Beauty Looks Of The Week From Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael And Others
“Makeup magnifies the beauty that already exist “, kupaka makeup hakumaanishi kunakubadilisha kile ambacho unacho bali kinaongezea kukifanya kile ambacho unacho kuwa bora zaidi. Kama ambavyo tunajua watu maarufu huchukua muda wao kutuonyesha mitoko yao na makeup looks zao kupitia katika mitandao ya kijamii, week…
4 Times Mwanamitindo Irene Ametupa Makeup Goals
Jumatano nyingine tena ya week ambayo huwa tunawaletea ni kitu au mtu gani ametuvutia katika mavazi, urembo, nywele au kitu chochote kutoka kwake. Week hii tunae mwanamitindo video vixen Irene au Officiallyyn ambae tumependa hizi makeup zake alizo fanyiwa na make up artist Rose Kayuga (@rosekayuga…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…