SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Reviewing Beauty Legacy Gala 2020 Red Carpet 

harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020 lililowajumuisha malkia walioshinda Taji la urembo Tanzania lenye lengo la kuchangia fedha kwa ajili ya kusaidia watoto na wamama wenye uhitaji maalumu limefanyika December 12 jijini Dar es Salaam. Kulikuwa na red carpet ambapo sisi tumeamua kuiita expensive…

Mitindo

Former Miss Tanzania For Beauty Legacy Gala Photoshoot 

Walimbwende wa zamani kutoka Miss Tanzania wamefanya photoshoot ya Tamasha la Beauty Legacy Gala Tanzania 2020. Utakuwa unajiuliza Tamasha hilo linahusiana na nini “Miss Tanzania 2000, Mjasiriamali na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Ms.Jaqueline Mengi ameanzisha tamasha la harambee la The Beauty Legacy Tanzania 2020…

Mitindo

Beauty Legacy Gala 2020 Fashion Review 

Mwanadada Jacqueline Mengi ambae alikuwa Miss Tanzania mwaka 2000 aliandaa Beauty Legacy Gala ambayo ilikusanya warembo mbalimbali wa miaka tofauti tofauti. Theme ya event ilikuwa ni high tea. Tukiongelea high tea ni chakula kinacholiwa jioni ila hiki ni lightly meal yaani chai na cakes, scones…