SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

2021 Slayage Edition 

Ni Siku Nne tu toka tuanze mwaka mpya, na tunaweza kusema mwaka tayari unaonekana kuanza vyema kabisa as watu maarufu mbalimbali wameonekana ku-slay na outfit zao. Tunaanza na mwanamitindo Happiness Magese ambae alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa amevalia tulle dress ya pink akiwa amemalizia…

Urembo

Ben Pol In Men Color Polish Trend 

Nail Color Polish kwa wanaume imekuwa ni trend mpya tumeona watu maarufu mbalimbali kutoka ndani na nje ya Nchi wakiwa wanajaribu trend hii, watu kama Harry Styles, Snoop Dogg, Asap Rocky kutoka marekani wameonekana kwenye trend hii lakini week chache zilizopita tuliwaona Rhyno na Wildad…