How Anitha Closet Recreated Beyonce’s Look
Anitha Closet ni fashion blogger & fashionista kutoka Nchini kwetu Tanzania, ni moja kati ya wale fashionista ambao wapo kwenye game kwa muda mrefu, hats off kwake kwa kuendelea kuwepo kwenye tasnia bila ya kuchuja. Anitha alihudhuria katika Autism Awareness Gala akiwa amevalia hii look…
Beyonce Vs Toke Makinwa Icy Park Outfit
At this moment we can all agree Toke Makinwa doesn’t play when it comes to her wardrobe. Ukiangalia page yake utakutana na luxury brand shoes, handbags na mavazi. Watu ambao anakuwa compared nao kwa sasa ni kina Beyonce na Ciara. Ciara & Toke Makinwa Rocking…
Nandy Channeling Her Inner Beyonce In This Red Outfit
Faustina Charles Mfinanga wengi tunamjua kama Nandy au The African Princess, week hii ameonekana ku-channel Mrs. Carter ( Beyonce Knowles ) kwenye hii red outfit. Beyonce alianza kuivaa kwenye OTR 11 Tour, ambapo alivaa red bodysuit with matching thigh-high boots na kofia. Ambapo tulimuona Nandy…
Fahyma & Mahumes Recreated Beyonce & Kujta & Meri Black Embellished Dress
Seems like watu maarufu kutoka Tanzania kwa sasa wanakuwa sana inspired na mwanadada Beyonce, Ikiwa tumemuona mwanadada Hamisa akiwa ame-mchannel Beyonce kwenye red cleavage high slit dress. Hamisa Mobetto Channeling Her Inner Beyonce Safari hii tumemuona mbunifu Mahumes na mwanadada Fahyma wakiwa wame re-create Beyonce’s…
Hamisa Mobetto Channeling Her Inner Beyonce
Hamisa Mobetto has been slaying right and left this year, amekuwa akitu-serve look after look na tunapenda tunachokiona. Hivi karibuni alipost picture katika account yake instagram akiwa amevali gauni jekundu ambalo alikuwa inspired na mwanamuziki Beyonce. Hamisa alivaa gauni hili likiwa limeshonwa na brand yake…
Braids And Natural Hair Moments From Magazine Covers To Runway
Gone are the era’s of praising wigs and weaves, ilikuwa si kawaida sana kukuta watu maarufu wamesukia rasta au kuwa na african natural hair katika covers za magazine au kutembea katika runways lakini kwa sasa tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wanatumia natural hair na rasta…
Beyonce, Kylie Jenner And Kelly Rowland Prove That Gloves Are Back On Fashion
Gloves zilikuwa zinavaliwa miaka ya 50’s, ambapo wanawake walionekane classy kwa kuvaa gloves wakiwa wame-match na hat au bag. Lakini kwa sasa mtindo huu umeonekana kurudi katika chat thanks to celebrities ambao wameonekana kuurudisha. Usiku wa kuamkia jana watu maarufu walihudhuria katika hafla ya siku…
Judith Leiberny Stack Of Cash Clutch Ndio Accessory Pendwa Kwa Sasa
Watu maarufu wananamna ya kufanya vitu vi-trend, kuna season ambapo unakutana na kitu cha aina fulani kimevaliwa au kubebwa na asilimia kubwa ya watu maarufu hapo ndipo unajua hichokitu kina trend kwa sasa. Na season hii ambacho tumekiona kinatrend ni hii clutch kutoka kwa mbunifu…
HATA WAO WAPO NYUMA
Imezoeleka kuwa mitindo mingi inaanzia Nchi za Magharibi na baadae kufika katika nchi za Afrika lakini safarihii imekuwa tofautibaada ya Jarida la Elle, lenye makazi yake nchini Canada Kutweet kwamba DAKISHI ni bidhaa mpya inayo kiki katika sayari ya mitindo, kwa sababu watu maarufu kama Beyonce, Rihanna,…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…