Bijoux Trendy On Working With Ali Kiba
Bijoux ni moja ya wabunifu tulio nao Nchini ambao wapo tofauti kabisa, ikiwa wengi wame base kwenye mavazi ya sherehe na wengine wakiwa kwenye material za kizungu yeye anafanya batiki na mavazi ya ni ya day wear, hivi karibuni tumemuona mwanamziki Ali Kiba akiwa amevalia…
Bijoux Trend Celebrates Culture In Her 2021 Campaign
We love when a designer steps outside the box, mara nyingi wabunifu wakitoa collection zao hawajisumbui kufanya vitu vingine kuendelea kutangaza collection zao hizo. Fashion Campaign ni namna mojawapo ambayo inamuwezesha mbunifu kutangaza collection yake, zipo namna mbalimbali za kufanya campaign hizi, kwa kuchagua aina…
Jacqueline Sakrii Terry X Bijoux Trendy Collection Is Giving Us Summer Vibes
Katika kitu ambacho tulikitilia msisitizo mwaka huu na kuomba kifanyike ni collaboration kutoka kwa wabunifu na watu maarufu mbalimbali, wenzetu huwa wanafanya sana hizi collaboration na zinasaidia katika kukuza kazi zao lakini pia kuonekana na Nchi nyingine. Mbunifu Bijoux Na Collection Yake Mpya “RAFIKI” Katika…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…