Ni Libra season na sote tunajua watu wengi maarufu wamezaliwa mwezi huu, well week iliyopita tumeona birthday za watu maarufu watatu kutoka Tanzania, Kenya Na Uganda. Ambapo kwa Tanzania tunae Wema Sepetu, Kenya ni Vera Sidika na Uganda ni Zarina Hassan ( Zari The Boss…