SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

KWA NINI UVAE BLACK OUTFIT 

Watu wengi huwa hatujui black outfit ni nini ni combination ya outfit yako kutoka juu mpk chini Kwa mfano unaweza vaa little dress , jeans na T-shirt ila zote ziwe black. Black outfit ni moja ya mavazi ambayo yako tofauti na leo kunaletea sababu baadhi…

Mitindo

Vazi La Fahyvanny Lenye Gharama Ya Milioni 3 

Waswahili husema “Vizuri Gharama”, yes vitu vyote vizuri Duniani ni gharama au lazima ugharamie kuvipata. Na hii inaonekana pia katika mavazi, leo tunaongelea vazi la mwanadada Fahyma ambae ni mchumba wa mwanamuziki Rayvanny lililomcost shilingi Milioni 3 za ki-Tanzania. Fahyma alivaa vazi hili katika Wasafi…