MBUNIFU HAMEED TOKA MEDDY FASHION HOUSE KAJA NA BRAND YAKE YA BOXERS
Hameed the designer toka Meddy Fashion House na boxers collection. Kwa muda gani sasa umekuwa ukifanya kazi ya ubunifu wa mavazi? Hameed: For 8 years nipo ndani ya shughuli/kazi ya ubunifu. PATA KUMJUA HAMEED ABDUL MBUNIFU KUTOKA MOROGORO Great. Wapi ulipata idea ya kubuni boxers…
The Hip Bag By Style Your Soul Clothing Line
Moja ya brand ambazo tunazipenda sana kwa sasa kutoka Tanzania ni Style Your Soul Clothing Line, hii ni brand ya mavazi na inamilikiwa na kijana aitwae George Williams, Style Your Soul ipo tofauti na brand nyingi za mavazi za Tanzania, hii ipo kipekee na very modern….
So Rare Brand Na Jinsi Ya Kuslay African Beaded Clutch’s
Hivi vipochi unaweza kuwa umekutana navyo mahala mbalimbali, wamama wanauza sana na kuvitengeneza mno mitaani, wengi huwa tunavipuuzia na kuvipita lakini brand kutoka hapahapa Tanzania iitwayo So Rare wao wameviona na kuvipa muonekano wa tofauti kidogo. Kwa sababu vinauzwa sana na wamama basi wengi tunahisi…
Kwanini Wabunifu Wamuige Irada Style
Collection yake ya kwanza ilikuwa katika stara fashion week 2018, lets say hana hata mwaka katika game ya mitindo na tayari tumeshaona effort zake kiasi ambacho tukaamua kukaa chini na kuandika kuhusu yeye. Kama ni mara yako ya kwanza kulisikia hili jina anaitwa Irada Mahadhi…
Simple And Elegant Are The Two Words For Mgece Cici Eid Collection
Mbunifu wa mavazi ambae sisi tunamuita Low Key baddest designer Mgece Cici ametoa collection yake ya Eid mwaka huu na tulivyo iona tulipata maneno mawili tu ambayo ni simple & elegant. Kama ambavyo tunajua Mwezi Mtukufu unaelekea mwishoni na wengi tunapenda kusheherekea siku hii tukiwa…
Sherehekea Eid Stylishly Na Annisa Abaya Eid Collection
Mwezi Mtukufu wa Ramadhani unaelekea ukingoni na karibu tunasherehekea sikukuu ya Eid, mbunifu wa mavazi ya modest womens wear Annisa Tanzania ametoa collection yake ya Eid. Annisa ni moja ya wabunifu ambao wanajitahidi ku-stand out katika ubunifu wao na material. Tunachopenda kutoka kwake ni material…
Kiki Zimba Swahili Fashion Week Collection 2015
Tunajua kwamba kuna sehemu moja tu ambapo utapata kushuhudia collection za Wabunifu wetu kutoka Tanzania basi ni katika Jukwaa na Swahili Fashion Week, leo katika throw back tunakuletea Collection ya Mbunifu Kiki Zimba ambayo alii-debut katika jukwaa la Swahili Fashion Week mwaka 2015. Look Book…
Wapi Unaweza Kupata BidhaaVipodozi Vya Asili Tanzania
Kama ni mpenzi wa bidhaa za asili za urembo utagundua kwamba ni kazi sana kupata bidhaa hizi, madukani kumejaa bidhaa za urembo zenye makemikali. Na ukifanikiwa kupata sehemu ambayo inauza vitu vya asili huwa ni ghali kutokana na kwamba wananunua kutoka Nje. Lakini katika kufanya…
Mbunifu Sheria Ngowi Ni Mfano Mzuri Wa Msemo Nabii Hakubaliki Kwao
Kwetu sisi ukiongelea mbunifu wa mavazi ya kiume ambae anahitaji kila aina ya heshima basi una muongelea Sheria Ngowi, Sheria is a legend & he will surely leave a legacy siku moja. Kuna ambao hamumjui Sheria ni nani labda kwa sababu tu kwa sababu ana…
Uzi Isle Collection Beaded Sandals
Tumekuwa tukiona baadhi ya brand za viatu vya kiume kutoka Tanzania kama Surtanforemen lakini pia Mbunifu Mtani Nyamakabibi amezindua shoe line yake iitwayo Mtani Shoes, well tukawaza kwani Africa Mashariki hatuna shoe line ya kike? Tukakutana na hii shoe line ya kike inayo itwa Uzi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…