Je Ni Mara Ngapi Unatakiwa Kununua Bra Kwa Mwaka?
Kubadilisha sidiria yako mara kwa mara ni njia mojawapo ya kuepuka hatari za kuvaa sidiria isiyofaa/kukutosha, ambayo inaweza kukuletea athari za maumivu ya kichwa na maumivu ya mgongo kutokana na poor posture ya sidiria hio. Kutokana na uchunguzi wa Harper Wilde, 70% ya wanawake walisema…
Bra/Vest Rangi Gani Uvae Unapovaa Shirt Nyeupe?
Moja kati ya vitu vinavyo kera ni kuvaa nguo nyeupe ya juu kisha ukavalia brazia ambayo inarangi na kufanya blazia kuonekana kwa nje, eg unavaa top / shirt nyeupe na unavaa na brazia au vest nyeupe na rangi zinakingana na kusababisha ile ya ndani kuonekana….
Namna 3 Nzuri Za Kufanya Mikanda Ya Brazia (Bra) Isilegee
Moja kati ya vitu ambavyo vina-stress wanawake ni mikanda ya Brazia kulegea, yaani unanunua brazia kilasiku kwasababu baada ya mifuo kadhaa mikanda inalegea. Hii inaweza kusababishwa na quality ya brazia lakini pia inawezekana inatokana na uanikaji wako wa brazia unasababisha mikanda kulegea, mfano unapo anika…
Let Your Bra Rest Between Wears
Wakati wengi wetu tukiwa tunapenda kuvaa bra moja na kuzifua kisha kuzivaa tena kwa sababu tu labda tunaipenda sana. Tunaambiwa kwamba hayo ni makosa ambayo yanapelekea elastic au mikanda ya brazia yako kulegea. Ambacho tunashauriwa ni kuvaa bra mara moja kuifua na kuipumzisha kwa siku…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…