Fashionista Ms Ris Eddy Rocking Givenchy Shark Lock Boots
Givenchy Shark Lock Boots zilikuwa introduce mwaka 2012 na kampuni ya mavazi ya Givenchy ambapo wengine wanaziita “foldover boots” boots hizi zimekuwa updated mwaka 2020 baada ya Matthew M. Williams kuchukua nafasi ya creative director katika kampuni hio ambapo aliongezea Givenchy padlock juu ya boots…
Mbunifu Kutoka Nigeria Ame Re-create Vazi Alilovaa Cardi B Katika Tuzo Za Grammy’s
Tuzo za Grammy’s zilifanyika tarehe 6.2.2023 ambapo mwanamuziki Cardi B aliwakalisha wengi kutokana na vazi lake alilolivaa kutoka kwa mbunifu Gaurav Gupta ambalo lilipitishwa katika runway ya spring/summer 2023 haute couture. Vazi hili la Cardi liliwavutia wengi na alikuwa moja kati ya best dressed siku…
Lilly Afe Channeling Her Inner Cardi B For Her 30th Birthday Photoshoot
Muigizaji na producer Lilian Afegbai kutoka Nigeria, ametimiza miaka 30 leo, kama ambavyo tunajua watu maarufu wengi hupenda kusheherekea siku zao za kuzaliwa kwakuvaa vyema na kufanya photoshoot. Kwa Lilly yeye aliamua kum-channel mwanamuziki Cardi B ambae alivaa hili vazi kutoka kwa mbunifu Man Fred…
Cardi B Wore Eye Catching Jewelry On Her Maternity Photoshoot
Rapper Cardi B anatarajia kupata mtoto wa pili, Rapper huyu alifunga ndoa na rapper mwenzie Off Set mwaka 2017, na mwaka 2018 walimkaribisha mtoto wao wa kwanza Kulture, seems like Kulture anatarajia mdogo wake. Jumapili wakati akiwa anaperform katika BET awards, Cardi B ali-reveal kwamba…
A Chop Or Drop Maison Margiela Tabi Boots
Wabunifu wanaendelea kuwa inspired na vitu mbalimbali, miaka ya 1980, ambapo Maison Margeila alitengeneza hivi viatu akiwa inspired baada ya kutoka Trip, Japan. Japo kiatu hiki kimebuniwa miaka mingi nyuma bado kinaonekana kuwa iconic na kuendelea kuwepo kutoka na utofauti wake. Hiki kiatu kina split…
“I want to show people that you can do positive things, but you can also be yourself,” Cardi B For Billboard Magazine
Female Rapper anayefanya vizuri kwa sasa na wimbo wake wa WAP Belcalis Marlenis Almánzar A.K.A Cardi B amekuwa featured katika Gazeti la Billboard Women Of The Year 2020 (Women In Music). Ambapo ameongelea mambo mengi ikiwepo muziki, kujihusisha kwake na politics lakini pia maisha yake…
Nanaa Akua Addo & Cardi B In Showstopping & Jaw Dropping Outfits
Katika mitindo kuna wale ambao hatujui tumesimama wapi, wale ambao tupo-comfortable na mionekano yetu na wale ambao hufikiria nje ya box, leo tunawaletea mwanamuziki Cardi B na Fashionista Nana Akua Addo hawa ni wale ambao wanafikiri nje ya box na wakotayari ku-take any risk linapokuja…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…