Zari The Boss Lady Kafa Na Fashion Katika Hili Vazi La Airport
Zari alitembelea Tanzania weekend iliyopita ambapo alikuwa ana fanya appearance kwenye party huko mjini Dar Es Salaam, well tuliona alienda kupokelewa airport na kilicho tuvuta kwake ni huu muonekano wake yaani mavazi aliyoyavaa. Sote tunakubaliana kwamba ukiwa safarini unatakiwa kuvaa mavazi ambayo yapo comfortable ikiwa…
Lulu Diva Vs Director Joan In Blue Body-corn Dress
Yes tunajua its been a while toka tuandike kitu kwenye segment yetu ya #afrofashionbattlefield lakini msijali tumerudi na tutakuwa tunawekea hapa kila mtu maarufu ambae tumem-spot amevaa sare na mwenzie. Hii si kwa ubaya kwa watu wawili kupenda vazi moja ni kujua tu nani ame-listyle…
Maua Sama 2020 Fashion Moments We Fell In Love With
We live for every look that Maua Sama served us in 2020, Maua anajulikana kwa kuwa simple kwenye mitindo yake sisi huwa tunamuia a shy slayer, yaani she is serving looks lakini hapigi kelele nyingi. Maua Sama Aelezea Ambavyo Alivalishwa Na Elizabeth Michael But in…
Reviewing Rayvanny’s & Faymah Outfit By Speshoz
Anaitwa Raymond a.k.a Rayvanny mwanamuziki kutoka katika label kubwa ya WCB inayo milikiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz. Juzi walimtambulisha msanii mpya katika label yao lakini pia walizindua wimbo wake mpya, katika hafla hio wali attend watu maarufu mbalimbali kutoka katika label hio na wengine ambao…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…