Sababu 6 Kwanini Kipodozi Chako hakifanyi Kazi Ipasavyo
Umeshawahi kujiuliza kwanini kipodozi chako hakifanyi kazi ipasavyo? Na unatamani kuachana nacho na kutafuta kipodozi kingine? Well DON’T kuna sababu nyingi sana aambazo huchangia kipodozi kisifanye kazi yake vizuri. Leo tutaongelea sababu hizo. Kutokutumia Kipodozi Ambacho Kina-regimen za aina ya ngozi yako Hapa ndipo unakuja…
Pata Kufahamu Madhara Ya Kutumbua Chunusi Na Namna Ya Kuacha Tabia Hio
Kutumbua chunusi na vipele ni tabia ya wengi ambayo husababisha makovu, wekundu na kusambaza bacteria (hupelekea matatizo zaidi ya ngozi) kwenye maeneo ya ngozi ambayo hayana matatizo. Japokuwa ni ngumu kutotumbua mchunusi unaokutazama, Fanya yafuatayo kila unapofikiria kutumbua chunusi Kutumbua chunusi kunaacha makovu.Kama ulikuwa hujui…
Ondoa Chunusi Za Mgongo Kwa Kutumia Sukari Na Mafuta Ya Nazi
MGONGO ni moja ya kiungo cha mwili ambacho kinahitaji uangalizi mzuri.Bila hivyo huleta tabu hasa pale mgongo unapokuwa hauko katika muonekano mzuri. Uchafu unaoganda kwenye mgongo hupelekea muwasho wa mara kwa mara na mgongo kuwa na mabaka mabaka.Ukweli ni kuwa jaribu kuangalia mgongo wako na…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…