Looks From Met Gala 2021
Wenyewe huwa wanaiita “fashion’s biggest night out,” the Met Gala 2021 ni fundraising benefit for the Metropolitan Museum of Art in New York City. Mwaka huu wa 2021 Theme ya event hii ilikuwa “In America: A Lexicon of Fashion, theme hii honors anything and everything…
Ciara & Toke Makinwa Rocking Prada Nylon Monolith Ankle Boots
Tuesday shoesday kwa sasa trend kubwa inaonekana katika upande wa viatu ni boots, ambapo watu maarufu mbalimbali wameonekana wakivalia viatu hivi. Prada Nylon Monalith ankle boots zimeonekana kuvutia wengi kutokana na utofauti wake wa kuwa na kipochi. Ikiwa mwaka jana tuliwaona watu maarufu kama Kylie…
Lulu Diva, Ciara Na Zuchu Wakiwa Katika Floor Length Braids Trend
Inaonekana trend kubwa kwa sasa ni kusukia rasta ambazo ni ndefu mpaka chini tunaposema chini tunamaanisha zinagusa ardhi. Mwaka 2017 tulimuona mwanadada Nicki Minaj ambapo yeye alisumia rasta ndefu hivi katika video ya motor sport. Nicki alisema ilimchukua masaa 36 kusuka nywele hizi ambapo hii…
Vanity Fair Oscars After Part Worthy Looks
Baada ya event ya The Academy Awards “The Oscars” hufuatiwa na event nyingine kubwa ambayo imepewa jina la “Vanity Fair Oscars After party” hii ni baada ya Tuzo waalikwa wanaenda kuenjoy na ku-network. Oscars 2020 Red Carpet Looks Review Well huku napo kunakuwaga na red…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…