Matumizi Ya Stringy Belt Loops
Hizi ni zile kamba ambazo huwekwa kwenye nguo kama hooks lakini zenyewe huwa ni kikamba tu chembamba, wengi wetu huwa tunatumia kama loop kwa kupitishia mikanda. Well “Hio sio kazi yake” Kazi ya hizi loops ni kuwekea mkanda dukani ili usipotee, au kwenye kusafirishia nguo…
Matumizi Ya Loop / Vikamba Vya Ndani Ya Nguo
Inawezekana umeshawahi kukutana na hivi vikamba ambavyo vinawekwa ndani ya nguo na ukawa huelewi vinakazi gani. Huwa vinakera na wengi wetu huwa tunaishia kuvikata. Well vikamba hivi vinatumika katika kuning’inizia nguo katika hanger, kama vazi lako ni strapless, sleeveless, off shoulder, skirt au suruali basi…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…