SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Hijabi Models Wa Cover Gazeti La Vogue Arabia 

Mara tu tulipo ona hii cover ya Vogue Arabia April msemo wa “Be You The World Will Adjust” ulitujia kichwani, miaka michache nyuma models wengi walikuwa wakilalamika kutokuwepo na diversity katika modeling industry, lakini kwa sasa Dunia inaanza kukubali na kutumia models wa aina mbalimbali,…

Mitindo

Zarina Hassan On True Love Mag East Africa 

Zarina Hassan au Zari the Boss Lady ameonekana katika cover ya Tue Love Mag East Africa, kichwa cha habari kikiwa her life in the fab lane well magazine bado haijatoka as tumejaribu kutembelea katika website ya magazine hii na hatujakuta bado june edition ambayo yupo Zari….