Noel Ndale Aandamwa Kwa Kuvaa Kivazi Aina Ya Crop Top
Crop tops are making their way back, ikiwa watu wengi kwasasa wanafanya mazoezi na kuwa na flat tummy’s tumeona wanapenda kuonyesha matumbo yao kwa kuvaa na crop tops. Tumewaona watu maarufu kama Noel Ndale, Ally Rehmtullah, Lady Jay Dee, Sishkiki na Aunty Ezekiel wakiwa wamevalia…
4 Times Fashionista Ayanda Thabethe Showed Us How To Style Crop Top’s
Hali ya hewa inaruhusu kuvaa crop top’s ( sio barabarani though). Kwetu huu uzungu bado haujafika wa kutembea kitovu nje barabarani japo haimaanishi hatuwezi kuvaa sehemu nyingine kama club, beach, movie theaters au sehemu za kujinafasi ( again usivae hivi kama unapanda daladala au community…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…