Wanamuziki kutona Nchini Nigeria mwanadada Tiwa Savage, Davido na Mr. Eazi wameonekana katika cover ya gazeti kubwa la muziki liitwalo Billboard. Katika cover hii la Africa Now May Issue wanamuziki hawa wameongelea kuhusu safari zao katika music industry. Well kwetu sisi tumeangalia zaidi fashion, na…