Namna 3 Za Kufanya Vazi Lako La Jeans Ku-Stand Out
Inaaaminika jeans ni vazi ambalo la kuvaa kawaida au tunaweza kusema casual look, wengi wetu hatulitilii maanani vazi hili na tunavaa kwenye ile mizunguko yetu ya kawaida, lakini kumbe unaweza kuli-style vazi hili ukaonekana elegant na ku-stand out. Leo tunakuletea namna 3 unazoweza ku-style vazi…
4 Times Hamisa Mobetto Showed Us How To Rock Denim
Ni Ijumaa nyingine tena na tunakuletea segment ya Drip Vibe Check ambapo hapa tutakuwa tunaangalia outfit mbali mbali za wasanii na namna ambavyo wamezivaa. Since tumeanza segment mwisho wa week tumeona sio mbaya tukimleta mwanamitindo, video vixen, mwanamuziki lakini pia ni mjasiriamali Hamisa Mobetto. Leo…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…