How Muna Love’s Praising The Lord Through Fashion
Dini na mitindo ni vitu ambavyo vinaleta utata mkubwa, wengi wakiamini aina fulani ya mavazi hayatakiwi kuvaliwa ukiwa dini fulani na kama unajitangaza ni dini fulani basi unatakiwa kuwa namfa fulani, kila mmoja wetu ana believe yake lakini mwisho wa siku ni wewe na imani…
Do You Really Need Patched / Crazy Jeans?
Moja kati ya trend kubwa kwasasa ni jeans ambazo zinaviraka, viraka hivi vinaweza kuwa vya jeans au vitambaa vya rangi nyingine lakini pia kuna zile ambazo zina rangi rangi nyingi, ukiingia kwenye social medias utakutana na Influencers, watu maarufu na wapenzi wa fashion wengi wa…
The Denim Knee High Covers Trend
Kama kuna kitu tunajua kwa hakika ni kwamba kila mwaka denim (jeans) lazima i-trend na kwa namna za kipekee kabisa, kulikuwa na skin jeans, zikaja mom jeans, tukaenda kwa distressed jeans, kukawa na deconstructed jeans na sasa tumehamia kwenye denim knee high covers. Denim knee…
Denim Affairs With Paula Majani
Denim ni vazi ambalo linaweza kuvalika mara nyingi na kwa namna nyingi upendavyo, unaweza kuvaa casual, date, ofisini na kwenye occasion mbalimbali, well ikiwa vazi hili lipo kwa miaka na miaka, wabunifu wamekuwa wakijaribu kuli-modify na kuleta mitindo ya namna tofauti tofauti. Leo tunakuletea Paula…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…