Timberland Boots Are Making A Comeback
Timberland boots zilikuwa founded mwaka 1973 na Nathan Swartz,kutokana na durability ya viatu hivi vilianza kujulikana na kuvaliwa na constructions workers, lumberjacks na wafanyakazi wa kazi nyingine ambazo zinahitajika viatu vigumu. Miaka ya 80 na 90 vikaanza kuvaliwa na watu wa kawaida na hii ilitokana…
Diamond Platnumz, Kusah & Rayvanny Wears Matching Outfit’s With Their Son’s
Mara nyingi huwa tunawaona wamama wakipenda kuvaa mavazi yanayo fanana na watoto wao ni tofauti kidogo na wababa ambao wao hawa match mara nyingi na watoto wao, hivi karibuni tumewaona wanamuziki Diamond Platnumz, Kusah pamoja na Rayvanny wakiwa wamevalia sare na vijana wao. Diamond na…
Airport Looks From Wasafi Festival Performer’s
Kama kuna kitu tunakitupia macho kwasasa ni Wasafi festival, tunapenda kuona namna ambavyo wasanii wapo pamoja na kutupa ideas mbalimbali za mavazi. Ikiwa week hii festival hii inaelekea Sumbawanga tumeona wakiwa ndio wako safarini kuelekea sehemu husika tukaona sio mbaya kuleta hapa airport sytles zao…
Wasafi Festival Looks In Songea
Mpaka sasa wasafi festival imeshapita sehemu tatu ambapo walianza na Mtwara, wakaenda Ruangwa na week hii tumewaona wakiwa Songea, na tupo hapa kuongelea looks za recently ambayo ni Songea, utajiuliza kwanini tumeruka Ruangwa, sababu ni moja tu hakukuwa na looks za kuziongelea sana. Songea wasanii…
Reviewing Enjoy Music Video By Jux ft Diamond Platnumz
Kama tunavyojua kuwa juma jux na diamond platnumz kwenye swala la kutoa videos nzuri ni swala la kawaida sana. Pia usisahau kwa miaka mingi juma jux amekuwa moja kati ya wasanii wa kizazi kipya ambao wanashikilia crown katika swala la mitindo na kila siku anazidi…
Kinyozi Wa Diamond Atupiwa Lawama
Kinyozi wa mwanamuziki Diamond Platnumz amekuwa gumzo na kulaumiwa na mashabiki na wasio mashabiki wa mwanamuziki huyo kwa kumtendea Diamond Vibaya. Jana katika Sikukuu ya Easter, Diamond alihudhuria sherehe za Mtoko wa Pasaka ambapo alivaa suit ya maroon nzuri, kilichoshtua wengi ni namna alivyo nyolewa…
Marioo,Diamond Na Watu Maarufu Wa Kiume Hawajui Kuhusu Utunzaji Wa Mikono
Usafi wa mikono ni muhimu sana kwa binadamu, iwe mtu maarufu au wa kawaida, uwe wa kike au wa kiume wote tunatakiwa kuwa na mikono misafi, mikono misafi haichagui jinsia wala umri. Katika pitapita zetu kwenye mitandao ya kijamii tumeona wasanii wetu wakijitahidi kuvaa vyema,…
Reviewing Nitongoze by Rayvanny Ft Diamond Video Looks
Nani ambae ana heart break na haijui huu wimbo? wimbo una trend na unagusa wengi, kama wengine mimi nilikuwa mmoja ya watu ambao walikuwa wanasubiri hii video itoke, kiukweli ime ni-disappoint kidogo nilijua itakua more of dancing video ila director kaamua kupita kushoto, sio mbaya…
Reviewing Haji Manara’s Birthday Party Looks
Its Capricorn season kwasasa watu walio zaliwa January wanasherekea kumbukumbu za siku za kuzaliwa kwao na mmoja kati yao ni Haji Sunday Manara a.k.a Dela Boss au El Buggati. Haji amefanya sherehe yake katika ukumbi uliopo Mlimani city, tupo hapa kukupa review ya nani alivaa…
Reviewing Diamond Platnum’z First Of All Ep Cover Outfit
Mwanamuziki Diamond Platnumz ametoa EP yake iitwayo first of all, wakati wengine wakiwa wanaendelea kuchambua nyimbo zilizopo sisi tumeona tugeukie upande unaotuhusu nao ni wa mavazi ambayo amevaa katika cover ya Ep hiyo, well get all the scoop and juice kwa kuangalia review yetu hapo…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…