SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

How African Celebrities Slayed Valentines Looks 

Jumanne ilikuwa siku ya wapendao na watu maarufu wengi walitumia siku hii kuwatakia wafuasi wao valentines njema huku wakionyesha mavazi waliyovaa siku hio na wengine ambao waliamua kufanya photoshoot kabisa. Well tumeona watu maarufu wengi kutoka Africa wakiwa wamependeza na mavazi yao, Nchi ambazo tumeona…

Mitindo

Bold And Stylish Suit Looks From Last Week 

Week iliyopita hakukuwa na mambo mengi sana hasa upande wa watu maarufu wakike Nchini, lakini kwa wakaka inaonekana kama wamepania mwaka huu, well tumeona baadhi ya watu maarufu wakiume ambao walikuwa wamevalia suit zikiwa bold na ku-make statement kwa namna moja au nyingine. Tumemuona mbunifu…

Mitindo

3 Couples Who Are Giving Couple Goals 

Kama tulivyosema ni mwezi wa kusambaza upendo, wakati wengine tukijisambazia wenyewe, wengine kwa marafiki na familia wengine wao wanasambaza upendo kwa wapenzi wao. Week hii tumeona couple za watu maarufu kadhaa wakisambaziana upendo ambapo tumewaona Auntie Ezekiel Na Kusah wakiwa wamevalia all black outfit, Auntie…