SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

5 Tips Za Kuanza Kuonekana Classy & Elegant 

Inawezekana unapenda sana kuonekana classy na elegant lakini hujui uanzie wapi na ufanye nini, kwanza kabisa tungependa kukwambia inawezekana na kuonekana elegant au classy sio lazima uvae suit au official wear, sio lazima uanze kununua mavazi au vitu vya bei ghali hapana unaweza kuvaa mtumba…

Mitindo

High Waist Jeans Do And Dont’s 

High wasted jeans ni jeans ambazo zinakuwa ndefu mpaka tumboni na zinashika kiuno kwa jina lingine wanapenda kuziita mom jeans, aina hii ya jeans inakufanya kuwa classic , casual , sexy and chic katika muonekano wako ila inategemea umevaaa na nini. Katika kipindi cha hivi…

Mitindo

Vitu 4 Vya Kutoa Kutoka Katika Kabati Lako Sasa 

Kunavitu huwa tuna ng’ang’ania katika makabati yetu na havina hata kazi ili mradi tu inawezekana una historia navyo au unavipenda, well leo tunakupa vitu 5 ambavyo unatakiwa kutupa au kugawa kutoka katika kabati lako kwasasa. Pieces that aren’t you Inawezekana kwasasa upo katika umri mwingine,…

Mitindo

Sababu 4 Kwanini Style Yako Ina Boha 

Unapenda fashion unapenda kuvaa vizuri, una mavazi mazuri lakini chakushangaza kilaunapo yavaa unaona hayakupi ile feeling ya kuwa this is it, kukupa ile confidence ya kwamba umependeza na kujishow off. Well inawezekana unafanya vitu hivi ambavyo vinasababisha kuharibu style yako: Mindset Yako Inaweza kuwa ni…