Namna Ambavyo Usafiri Unaweza Kuathiri Muonekano Wako
Kuna vitu mbalimbali vya kuangalia pale ambapo unachagua mavazi ya kuvaa kama mazingira, hali ya hewa ,muda etc lakini pia kuna vitu kama usafiri unaotembelea. Wengi usafiri huwa unatuzuia kuvaa baadhi ya mavazi leo tumekuletea tips za namna ya kuvaa kama unatumia usafiri wa Umma.
Jinsi Ya Kutambua Umevaa Fake Clothes
una baadhi ya vitu vinatokea kwa kujua na kutokujua unamkuta mtu kanunua nguo expensive lakini ni fake sio tatizo lake hilo kwa sababu alikuwa hajui. Leo tunakuletea tips zaidi ya kujua umevaa fake clothes au lah. Zipo njia nyingi sana za kujua kwanza anza na…
Zuchu Afanya Dhambi Hii Ya Fashion
With a world full of technology inashangaza kuona bado watu maarufu hawatumii teknolojia hizi kujifunza vitu vidogo vidogo vyenye maana kwao, kuna fashion bloggers, mitandao ya kijamii mbayo inaweza kukusaidia kujua vazi gani linapaswa kuvaliwa na nini, Tumemuona Zuchu na mistake ya kuacha bra ionekane…
How To Fix Too Many Prints Outfit Problem
Mara nyingi huwa tunatafuta njia za kuwasaidia hasa katika mitindo na urembo na kwasasa turudisha segment ya AFsFashionFix, hapa tutakuwa tunaongelea matatizo mbalimbali ya mitindo na namna ya ku-fix na kuanza na segment hii tunaanza na How to Fix Too Many Prints Clothes Problem Wengi…
Vifungo Vinavyoweza Kupunguza Hadhi Ya Vazi Lako
Kuna vitu vidogo ambavyo unaweza kupuuzia na kusema havionekani au hata kama vinaonekana sio big deal lakini kiukweli vinaweza kutoa muonekano wako kutoka 100% to 70% kitu ambacho kinakera maana umechukua muda mwingi kufikiria mtoko wako halafu kitu kidogo tu kina uharibu. Utajiuliza vifungo vinawezaje…
What Colors To Mix With Mustard Yellow
Inapokuja mda wa kusaidia watu wa expand sense ya style basi possible solution ni kuchagua rangi nzuri na patterns ambazo zitamfanya awe katika comfort zone. Mustard yellow ni aina ya rangi ambayo inamfanya mtu awe na natural beauty. Watu wengi wanasema mustard yellow ni moja…
Anitha Closet Atuonyesha Namna Ya Kutumia Loops/Kamba Za Ndani Ya Nguo
Mara nyingi tunaponunua mavazi kuna vikamba uwaga tunakutana navyo, vikamba hivyo hukaa sehemu mbalimbali kutegemea na vazi lako, mara nyingi kwenye suruali au skirt zinakaa kiunoni na kama ni gauni au blouse huwa vinakaa maeneo ya kwapani. Wengi wetu huwa hatujui hivi vikamba vinakazi gani…
Vitu Vitano Unavyoweza Kufanya Ku-level Up
Najua wengi wetu tumeenda shule kuna wale wadada ulisoma nao, wakati unasoma nao walikuwa the true definition of basic. Ukimuona hakutetemeshi hakutishi(wasemavyo waswahili). Basi umemaliza shule, miaka kadhaa imepita then katika pitapita zako unakutana nae au unaona picha yake mtandaoni, wakati mwingine hata rafiki anakutumia…
How To Repeat Outfit Without Getting Noticed
Inawezekana una mavazi machache au unayo mengi lakini unapenda kurudia mavazi yako, ikiwa Dunia inatupelekesha kuamini kwamba kurudia nguo ni jambo la ajabu tupo hapa kukwambia ni sawa kurudia nguo, Lakini je unazirudiaje ili watu wasijue kama umezirudia? Leo tunakuletea tips chache za nini ufanye…
Mavazi Ya Kuvaa Endapo Una Mikono Minene
Sote tuna ile part katika miili yetu ambayo tunaona haiko sawa ( insecurities ), inaweza kuwa mikono, miguu, tumbo, vidole, chochote ambacho unaona hakiko sawa na unatamani kukificha, kitu ambacho sisi tungeweza kukwambia ni kwamba your beautiful the way you are. Lakini kama unaona bado…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…