SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

Beauty Looks Of The Week 

Tumeanza week nyingine, ni time ya kuwapa review ya week iliyopita, tumeona nini kime-trend na nani alipendeza na nani alikuwa mmh. Week iliyopita kilicho trend ni beauty looks, tumeona watu maarufu wengi wakiwa wamepost mionekano yao ya makeup and once again tunasema makeup artist wa…

Mitindo

Reviewing Bongo Star Search Red Carpet Looks 

Siku ya jumanne kuamkia jumatano ambapo ulikuwa mkesha wa Christmas, shindano na bongo star search 2019 lilifikia taamati ambapo tulipata mshindi ambae ni Meshack Fukuta. Well wakati wengine walikuwa wanaangalia kujua nani atachukua ushindi sisi tulikuwa tukiangalia nani alivaa nini na hizi ndio two cents…