SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

Anerlisa Turned 33 In Elisha Red Label Dress 

Incase hujamjua Anerlisa ni nani, Anerlisa ni CEO wa Nero ni mfanyabiashara kutoka Kenya lakini pia ni mke wa mwanamuziki Ben Paul kutoka Tanzania. Jumamosi Anerlisa alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa ndani ya gauni jekundu kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label kutoka Tanzania. Ilikuwa…

Mitindo

Best Dressed At I Am Zuchu Event 

Its been a while toka Tanzania tuwe na event kubwa ambayo imewakutanisha wasanii mbalimbali pamoja, Jumamosi kuikuwa na event ya msanii kutoka katika label ya wasafi classic baby Zuchu ambapo alikuwa anatoa shukrani kwa mapokezi aliyoyapata. Kwanza tuanze kwa kusema finally, tumepata event ambayo red…