Looks We Spotted From Wema Sepetu, Hamisa Mobetto, Elizabeth Michael & More
This week was all about glam and beauty, watu maarufu wengi wameonekana wakiwa wamevalia mavazi yao mazuri iwe walikuwa wageni waalikwa sehemu au photoshoot, walipendeza na kuvaa mavazi stahiki, tunakuletea nani amevaa nini. Tukianza na Elizabeth Michael ambae amechaguliwa kuwa balozi wa  MVALISHE AKASOME, alifika…
Reviewing Looks From Wema Sepetu’s Birthday Party
Kunapotokea event kubwa huwa macho yetu yanakuwa kwenye wageni waalikwa as tunajua kila mmoja wao anataka kuvaa apendeze na awe kwenye ile list ya best dressed katika siku hio, Ijumaa Wema Sepetu amesherehekea siku yake ya kuzaliwa na watu maarufu mbalimbali walihudhuria katika birthday party…
6 Celebrities Beauty Looks From Last Week
From bold and neutral looks there are ni shortage of makeup looks from Instagram, kila kona unayopita utakutana na mtu maarufu amepaka makeup yake na kupendeza vilivyo, hakuna ambae anapenda kuonekana hovyohovyo now days kila mtu anajua umuhimu wa makeup katika muonekano wake. Week iliyopita…
6 Best Looks We Spotted Last Week
The girls been serving looks, from casual to occasional wear, week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa kwenye mionekano mbalimbali kutokana na sehemu walizokuwa wanaenda, as usual wengi wao walikuwa wamependeza kuanzia nywele, makeup, accessories, mavazi mpaka viatu wazungu husema head to toe. Baadhi ya…
Mishono Ya Vitenge Kutoka Kwa Fashionista Mbalimbali
Inawezekana una kitenge chako hujui ushone nini au una event inakuja na sare ni kitenge na bado hujajua mshono gani ushone, leo tunakuletea mishono mitatu mikali kutoka kwa Jojo Gray, Elizabeth Michael na Muna Love Muna aliserve akiwa amevalia hii mermaid dress kutoka kwa Allie…
Best Dressed Celebrities From Last Week
Week iliyopita kulikuwa na sherehe mbalimbali kuanzia sikukuu ya Eid, Birthday’s na harusi, watu maarufu walihudhuria shughuli mbalimbali na wengi wao walivaa kwa kupendeza. Leo tunakuletea wale ambao tuliona wamependeza na unaweza kuiga mshono kutoka kwao Tumemuona muigizaji Elizabeth Michael ambae alishehereka 28th Birthday yake…
Celebrities Eid Beauty Looks
Jumamosi ilikuwa ni sikukuu ya Eid ambapo waislam wamemaliza kufunga mfungo wa Ramadhani na kusheherekea sikukuu hii, kama ilivyo kawaida watu maarufu wengi huwa wanapost picha zao katika mitandao ya kijamii kuwatakia wafuasi wao sikukuu njema. Na icho ndicho kilichotokea sikukuu hii ya Eid ambapo…
Reviewing The Kid You Know Album Release Looks
Jumamosi iliyopita ilikuwa album release ya msanii Marioo, ambapo aliamua kufanya event pale Mlimani City na kuhudhuriwa na watu maarufu na fans wake. Well kama kawaida yetu tuliangalia nani amevaa nini na Je kapendeza au lah? Bado tunaona kuna tatizo la kujua cha kuvaa kutokana…
Beauty Looks From Last Week
Iwe kwenye mitoko au kuwa sehemu za kawaida watu maarufu na wasio maarufu hupenda kunogesha mionekano yako kwa kuongezea kupaka makeup, lets say ni kitu ambacho huwa kinanyanyua sana mionekano yao na kuongeza kunogesha urembo wao wa kawaida. Last week tuliona looks hizi nne kutoka…
Reviewing Looks From Drama Queens
Siku ya Jumapili iliyopita kulikuwa na sherehe ya moja ya member ya group inayojiita drama queen ( Irene Uwoya, Wema Sepetu, Kajala Masanja, Aunty Ezekiel, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael). Sherehe hii ilikuwa ya mtoto wa Irene Uwoya na wenzie walienda ku-show support, walichagua Nigerian…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…