Christmas Slayage From Tanzania’n Stars
Week iliyopita kulikuwa na sikukuu ya Christmas ambapo baadhi ya watu maarufu walitoa picha zao ambazo zinaonyesha mionekano yao huku wakiwatakia wa-Tanzania sikukuu njema. Tunaweza kusema wengi wao walipendeza sana na kujitahidi katika mionekano yao, rangi ambayo ilitawala ilikuwa nyekundu. Muigizaji Kajala Masanja alikuwa kwenye…
Jacqueline Mengi, Elizabeth Michael And Toke Makinwa In Organza style dress
Its Furahi day na kama kawaida huwa tuna Friday Fashion Battle Field. Leo tupo na Mwanamitindo Jacqueline Mengi, Muigizaji Elizabeth Michael Na Radio Personality kutoka Nigeria Toke Makinwa wakiwa wamevalia hii Organza style dress. Kwa wale mnaojiuliza organza ni nini hii ni combination ya fabrics…
Elizabeth Michael In Elisha Red Label Wedding Dress
Wengi tumekuwa tukisubiri kuona Elizabeth Michael atavaa nini kwenye harusi yake as we all know anapenda sana kupendeza hasa kwenye harusi za wengine, juzi Elizabeth alitu-surprise na gauni ya harusi kutoka kwa mbunifu Elisha Red Label. Kabla hujaanza kujiuliza kama kaolewa au lah, hajaolewa ni…
Beauty Looks Served From Last Week
New Day, New Week, Same Hustles.. Heri ya week mpya afromates na kama ilivyoada huwa tunaanza week kwa kuangalia week iliyopita kulikuwa na nini, nani amefanya vyema na nani ameharibu. Week hii tunaangalia mionekano ya nywele na makeup kutoka kwa watu maarufu mbalimbali akiwepo Hamisa…
Jacqueline Mengi, Juma Jux, Gigy Money And Elizabeth Michael Serving In Black
Week iliyopita rangi nyeusi imeonekana kutamba mno, watu maarufu mbalimbali wameonekana wakiivalia well who wouldn’t wakati kunamsemo unasema “Black And White Always Look Modern”. Tumewaona watu maarufu kama Jacqueline Mengi, Juma Jux, Gigy Money Na Elizabeth Michael wakiwa kwenye black outfits Jacqueline Mengi yeye alivaa…
Elizabeth Michael, Ebuka,Perfect Crispin Na Wengine Walivyo Serve Looks Last Week
Last week hakukuwa na mambo mengi, hakukuwa na event kubwa za red carpet lakini hii haikuzuia baadhi ya watu maarufu ku-dress up na ku-show up kwenye event nyingine zinazowahusu. Tunae Ebuka, Elizabeth Michael, Perfect Crispin, Nandy na Diamond Platnumz tuone nani ali-serve nini Perfect went…
Beauty Looks Of The Week
Tumeanza week nyingine, ni time ya kuwapa review ya week iliyopita, tumeona nini kime-trend na nani alipendeza na nani alikuwa mmh. Week iliyopita kilicho trend ni beauty looks, tumeona watu maarufu wengi wakiwa wamepost mionekano yao ya makeup and once again tunasema makeup artist wa…
Best And Worse Looks From Last Weeks
Tunajua mlimiss hii segment, Yes we miss doing this too. Sote tunajua kwa sasa watu hatutoki toki kutembea lakini hii haimaanishi basi tusipendeze yaani tujiweke weke tu. Leo tunakuletea best looks ambazo tumeziona Juma lililopita na zile ambazo tumeona zimekuwa kama covid 19, yaani kirusi….
Maua Sama Aelezea Ambavyo Alivalishwa Na Elizabeth Michael
Mwanamuziki Maua Sama alifanya live show katika kipindi cha homaTVE, Maua alivaa mavazi manne ambapo matatu kutika hayo yalitoka kwa muigizaji Elizabeth Michael na kampuni yake ya mavazi ya EMcloset. Tumefanya mahojiano na Maua Sama na ametuelezea namna ambavyo walifanya kazi na Lulu katika mavazi…
Our Two Cents On Elizabeth Michael’s Dress At AMVCA 2020
Elizabeth Michael “Lulu” alipata nafasi ya kutuwakilisha katika Africa Magic Viewers Choice Awards ( AMVCA ), Event ilifanyika huko Lagos, Nigeria. Toka Eliza apost ata-attend hii event kila mtu alikuwa excited kuona atavaa nini na sisi tukiwepo. Eliza alivaa blue dress kutoka kwa mbunifu Kyamirwa. Tunaamini…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…