SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Urembo

A Sneak Peek Into Jojo Gray’s Perfume Collection 

Unapovaa na kupendeza unatakiwa ku-take kunukia serious pia, huwezi kuwa umevaa unavutia halafu ukisogelewa unanukia personal (lol), moja kati ya slayer mzuri kabisa Tanzania mwanadada Jojo Gray ametuonyesha ni kiasi gani yupo serious kwenye swala la kuvaa na hygienne. Kupitia insta story yake Jojo alishare…

Urembo

What Perfume Does Zuchu Wear? 

Tunapenda pale ambapo watu maarufu wanatupa hint’s za vitu vyao vya kawaida kwa mfano mavazi, perfume, makeup etc. Wanatupa chance ya kugundua vitu vipya na kujua nini wanatumia na sisi tutumie. Tumemuona Zuchu akiwa anajipulizia perfume huko mtandaoni na ikatufanya tuwe curious kujua ni perfume…

Urembo

Flaviana Matata Perfume Collection 

Moja kati ya wanamitindo wafanyao vizuri ni Flaviana Matata, ukiachana na kuwa vizuri katika kazi yake na kuipeperusha bendera ya Tanzania vyema, Flaviana ni mfanyabiashara lakini pia anajipenda sana. Ukimuona utawaza ana fanya nini skincare yake, je anakula na kufanya mazoezi yapi mpaka mwili wake…

Urembo

Ommy Dimpoz Must Be Smelling Rich 

Mwanamuziki Ommy Dimpoz ametupia video kwenye mtandao wa kijamii ambayo inaonyesha perfume’s zake pamoja na mavazi ambayo anavaa sikuhio ni kama a day in a life video. Katika video hio tumeona vingi lakini kilichotuvutia zaidi ni hii perfume collection yake ambapo kuna Tom Ford na…