Seems like watu maarufu kutoka Tanzania kwa sasa wanakuwa sana inspired na mwanadada Beyonce, Ikiwa tumemuona mwanadada Hamisa akiwa ame-mchannel Beyonce kwenye red cleavage high slit dress. Hamisa Mobetto Channeling Her Inner Beyonce Safari hii tumemuona mbunifu Mahumes na mwanadada Fahyma wakiwa wame re-create Beyonce’s…