Maoni Ya Fahvanny Juu Ya Vazi La Tems Kukosolewa
Usiku wa kuamkia Jumatatu kulikuwa na Tuzo kubwa za Oscar, Tuzo ambazo zilihudhuriwa na watu maarufu mbalimbali walioalikwa, mwanamuziki kutoka Nigeria, Tems nae alihudhuria hafla hii akiwa amevalia vazi lake zuri lakini lilipata feedback mbaya kutokana na headpiece kuwaziba kuona waliokuwa nyuma yake. Well tumepokea…
Ombre Color Wig/Weaving Trend
Mpaka sasa hii ni moja ya trend kuiona mwaka huu wa 2023, mwaka umeanza na styles nyingi lakini ambayo tumeona ina jirudia hapa Nchini kwetu na Nje ya Nchi nii style ya ombre wig / weaving hair style. Ambapo style hii ni kwamba nywele inakuwa…
Beauty Looks From Last Week
Linapokuja swala la makeup watu maarufu huwa hawa-play games, the face must serve hata kama outfit itakuwa ya kawaida lakini sura lazima iwe vyema kabisa, iwe ni simple makeup au bold makeup look. Week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali waki-serve glam looks akiwepo Fahyma, Hamisa…
New Year Looks From Celebrities
Wakati ndio kwanzaaaa tunauanza mwaka watu maarufu wameshaanza kuonyeshana makali katika style zao za mavazi, we are loving this energy seems like 2023 tutakua na more content, anyways tukiwa kwenye siku ya pili ya 2023 tumeshaona photoshoot na looks kadhaa kutoka kwa watu maarafu na…
Fahyma Talks About Her Beauty Line
Fashionista Fahyma amezindua beauty line yake ambapo kwa kuanza ameanza na Kope za bandia (fake eyelashes), tumefanikiwa kufanya nae mahojiano na alikuwa na haya ya kusema; AFS:Kwanini Lashes? Fahyma: 1: hili swali la kwanza nakujibu ktk sekta mbili A: nimechagua lashes kwasababu na penda urembo,…
Reviewing Nandy’s Kitchen Party Looks
Jumapili ilikuwa sherehe ya kitchen party ya Faustina Charles Mfinaga a.ka Nandy na watu maarufu wengi walihudhuria ambapo wengi wao walipendeza mno. Rangi za usiku huu zilikuwa gold,njano,nyekundu pamoja na nyeupe. Kama ilivyo ada ni lazima tutoe two cents zetu kwenye mionekano tuanze na mwenye…
6 Beauty Looks From Last Week
Ukiachana na kwenda kwenye events, iwe photoshoot au kuamua tu kujipenda wenyewe watu maarufu wamekuwa wakituonyesha namna ambavyo makeup artist huwa wanacheza na nyuso zao. Tunapenda kwamba kila mmoja wao kapewa look yake binafsi na sio kila makeup ya huyu inafanana na huyu. Lakini pia…
6 Makeup Looks From Last Week
Juma lililopita lilikuwa na mengi, sherehe, photoshoots, engagement etc. Na kama ilivokuwa kawaida kukiwa na matukio basi sisi huwa tunaangalia namna ambavyo watu maarufu wamehudhuria je mavazi yao yalikuwa on point? Je makeup na nywele zilitulia? Na tuna wrap up na kuwaletea hapa maoni yetu….
Try These Celeb Inspired Eid Makeup Looks
Sikukuu ya Eid inakaribia na inawezekana umeshapata vazi lako au bado unatafuta, mara nyingi huwa tunajiandaa kimavazi na vyakula na tunasahau kuhusu looks zetu usoni, kutona na kufunga kwa mwezi mzima, kuchoka na mapishi ya hapa na pale sikukuu hii inaweza kukuta ngozi yako ikiwa…
Spotted Beauty Looks From Last Week
Iwe walikuwa kazini, kwenye mitoko na wapendwa wao au wamejipaka tu kwaajili yao wenyewe kwaajili ya nafsi zao, watu hawa maarufu walionekana kwenye mionekano ya kuvutia na makeup zao. Tumependa tulichokiona na efforts wanazotumia makeup artist kuwafanya waonekane warembo bila kupoteza ule urembo asilia wao….
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…