How to Feel Confident In Your Clothes
Usikubali watu wakupangie cha kuvaa wewe ndo unayechagua cha kuvaa so wear them with pride. Asikuambie mtu hakuna kitu kizuri kama ukifeel confident na comfortable in your clothes na huu ndio muda wakujisikia vyema ukiwa umevalia mavazi yako. Wewe ndio best vision of yourself kwaio…
Njia Za Kuupenda Mwili Wako
Ni rahisi kuwaangalia wengine na kuwaadmire miili yao, kuona kuwa wako vizuri, wanapendeza wakivaa chochote, tofauti na mimi. Unaweza ukangalia staili za nguo na kuona itawapendeza wengine ila sio wewe. Kuna kipindi miezi inapita bila kujiangalia kwenye kioo, na ukijiangalia unaona ile sehemu moja tu,…
Tatizo Si Mwili Wako Bali Ni Fikra Zako Juu Ya Mwili Wako
Niliiona hii post ya haya maneno kutoka kwa moja ya my favorite youtuber & Stylist Lauren Mesiah ambapo alisema “The Problem Is Not Your Body But How You Think Of It”, hii post iliniingia na nikasema siku moja nitaandikia kuhusu hili swala sababu lipo kwa…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…