SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

How to Feel Confident In Your Clothes 

Usikubali watu wakupangie cha kuvaa wewe ndo unayechagua cha kuvaa so wear them with pride. Asikuambie mtu hakuna kitu kizuri kama ukifeel confident na comfortable in your clothes na huu ndio muda wakujisikia vyema ukiwa umevalia mavazi yako. Wewe ndio best vision of yourself kwaio…

Mitindo

Mavazi Ya Kuvaa Endapo Una Mikono Minene 

Sote tuna ile part katika miili yetu ambayo tunaona haiko sawa ( insecurities ), inaweza kuwa mikono, miguu, tumbo, vidole, chochote ambacho unaona hakiko sawa na unatamani kukificha, kitu ambacho sisi tungeweza kukwambia ni kwamba your beautiful the way you are. Lakini kama unaona bado…

Mitindo

Je Unatakiwa Kutokujijali Baada Ya Kuolewa? 

Leo kwenye pitapita zetu huko mitandaoni tukakutana na hii video ya mwanadada kutoka Nigeria ambae anasema amekutana na mchepuko wa mume wake na aka-realize tatizo ni yeye. Ukiendelea kusikiliza hii video anasema kwamba huyo mchepuko ni fine girl, anavyovaa, nywele zake na anavyojijali wakati yeye…

Mitindo

Don’t Go Broke Trying To Appear Rich 

Inawezekana huwa unajiwekea malengo lakini kuna certain life unaishi na inasababisha usifikie malengo yako. Japo tunaambiwa fake it till you make it hii haimaanishi tufanye vitu vilivyo juu ya uwezo wetu pale ambapo hatuna, tumeona kwasasa wadada wengi wanajaribu kuonyesha maisha fulani mtandaoni wasiokuwa nayo…

Dondoo

3 Tips For Achieving Straight Posture 

Week iliyopita tuliongelea kuhusu Bad Posture To Fix For Confident Body Language, tulipokea maswali mengi na moja wapo lilikuwa mtu anaanzaje kuwa na straight posture, kiukweli kama hujazoea si rahisi na lazima utajisahau na kukakaa au kutembea ukiwa umeinama au kujikunja. Leo tunakulete tips 3…