2021 Slayage Edition
Ni Siku Nne tu toka tuanze mwaka mpya, na tunaweza kusema mwaka tayari unaonekana kuanza vyema kabisa as watu maarufu mbalimbali wameonekana ku-slay na outfit zao. Tunaanza na mwanamitindo Happiness Magese ambae alisheherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa amevalia tulle dress ya pink akiwa amemalizia…
Nandy Anahitaji Stylist Mpya
Miaka miwili mitatu nyuma Nandy alikuwa anatajwa katika wasanii ambao wanaongoza kwa kuvaa, na hii ilitokana na kwamba alikuwa anatumia sana stylist katika mavazi yake. kwa kipindi hiki tumeona kidogo amekuwa akiyumba kwenye swala zima la mavazi. 2 Times Nandy Was Styled By Pv Cambo…
Best And Worse Looks From Last Weeks
Tunajua mlimiss hii segment, Yes we miss doing this too. Sote tunajua kwa sasa watu hatutoki toki kutembea lakini hii haimaanishi basi tusipendeze yaani tujiweke weke tu. Leo tunakuletea best looks ambazo tumeziona Juma lililopita na zile ambazo tumeona zimekuwa kama covid 19, yaani kirusi….
Fashionista Sishkiki Akituonyesha Namna Ya Ku-slay Face Mask
Sishkiki ni moja kati ya fashionista wanao fanya vizuri katika upande wa fashion kwa sasa, week hii ametuonyesha namna ambavyo unaweza ku-slay outfit yako pamoja na face mask. Utakuwa unajiuliza kwanini face mask? kama ambavyo tunajua kwa sasa kuna janga la COVID-19 ambapo tumeshauriwa kukaa…
Fashion Highlights Kutoka Kwa Hamisa Mobetto, Lulu Diva Na Dulla Makabila
Well week ya kwanza ya mwezi wa pili imeisha na tunaweza kusema ni week ambayo imekuwa na fashion drama toka mwaka uanze. Kuanzia kwa mwanamitindo Hamisa Mobetto kuwa spotted akiwa amevaa fake dior bag, Dulla Makabila na superb facebeat huku akimshinda mwanadada Lulu Diva katika…
Red Carpet Worthy Looks From Last Week
Okay ni jumatatu nyingine tena na kama kawaida huwa tunawaletea highlights za week iliyopita, week hii tumeenda global na kuona wenzetu wamefanya nini huko Nchi nyingine. Kulikuwa na events mbalimbali ambapo tumetoa looks zilizotuvutia. Mbunifu na fashionista kutoka Ghana Nana Akua Addo won our hearts…
Best Celebrity Looks We loved On May Month
Okay its been a minute toka tumewaletea fashion roll call yetu ya kila week, sasa tumeona tuwaletee hii ya mwezi mzima ili mpate ku-catch up na nini kili happen tukakipenda nani alivaa nini wakati ana kwenda wapi. Tukafikiri what a away ya kuanza mwezi June…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…