2019 tumeshuhudia ukuaji katika tasnia ya urembo, mitindo na ubunifu, muziki yaani sanaa kiujumla. Ubunifu katika kazi za wasanii wengi, uwepo wa talents toka  kwa vijana wanaochipukia katika sekta mbalimbali iwe styling, photography, make up artistry, modelling pia fashion designing. Lengo kuu la Afroswagga sio…