Tip Ya Kuondokana Na Vidole Kutokeza Nje Ya Kiatu
Vidole kutokeza nje ya kiatu hukupa muonekano mbaya, inawezekana umenunua viatu vinakutosha vyema ila ukavivaa ukiwa umepaka lotion miguuni kwenye sole viatu vikawa vinateleza au inawezekana una tatizo la jasho miguuni ambayo nayo husababisha miguu kuteleza kwenye viatu na sababisha vidole vitokeze mbele,either way tuna…
Vitu 5 Vinavyofanya Muonekano Wako Uonekane Cheap
Unaweza kuvaa vitu expensive au hata vya bei rahisi ukapendeza, lakini kuna vitu ambavyo ukivivaa au ukavifanya hata kama ukiwa umevaa vazi la mamilioni bado unaonekana cheap. Yes na wengi wetu huwa tunajisahau na kufanya haya makosa. Nywele mbaya Nywele zinaweza kufanya muonekano wako kutoka…
Stockings Zilivyoharibu Shughuli Ya Yemi Alade
Moja ya mavazi ambayo ukivaa unatakiwa kuwa mtulivu na mwenye heshima ni stockings huwa ni rahisi sana kuchanika na kuharibu muonekano wako mzima. Hali hii imetokea mwanamuziku kutoka Nigeria, Yemi Alede ambapo alivaa vazi lake la kitenge akaamua avalie na stockings ndani, lakini kama ilivyoada…
Mkanda Ulivyoharibu Shughuli Ya Mimi Mars
Mwanamuziki Mimi Mars ambae kwasasa yupo kwenye media tour kwaajili ya wimbo wake mpya wa Lala ( this song is fiya though) ameonekana kupatwa na dhambi za fashion baada ya belt aliyoivaa kuharibika kidogo akiwa shughulini tunasema ajali kazini. Mimi Mars ambae alivaa all white…
Watu Maarufu Kuvaa Winter Jackets Kipindi Cha Jua
Leo kwenye fashion court tupo na watu maarufu wanaovaa winter jackets na jua hili la Nchini kwetu, tena basi wakiwa hawapo Iringa wala Mbeya wapo kwenye Jiji lililobarikiwa Jua na Joto. Yes we have seen it and imetushangaza unavaaje winter coat na hili jua? Are…
Mimi Mars Atenda Dhambi Hii Ya Fashion
Mwanamuziki na Muigizaji Mimi Mars ameonekana katika short clip ambayo anaongelea season mpya ya Tamthilia ya Jua Kali ambayo na yeye anaigiza humo ndani, Katika clip hio Mimi Mars amevalia one shoulder sequin dress ambayo amemalizia na makeup nzuri na nywele nzuri. Lakini amefanya dhambi…
Rayvanny Afanya Dhambi Ya Kutokujua Nini Avae Wapi
Katika vitu ambavyo huwa tunapaswa kuangalia katika kuchagua mavazi ni kujua sehemu unayoenda unatakiwa kuvaaje. Kuna sehemu ukivaa mavazi ya aina fulani unaweza kuwa kituko mfano: huwezi kuingia ofisini ukiwa umevalia pensi. Hiki ndicho kilichomkuta mwanamuziki Rayvanny kutoka label ya WCB ambae alikwenda Nchini Kenya…
Makosa Nane Ya Uvaaji Unayopaswa Kuyaepuka
Makosa ni kitu cha kawaida hususani katika uvaaji, Hata kwa watu wanaojua kuvaa kuna siku unakosea step. Ni makosa ambayo kwa hatua chache kadhaa yanaweza kurekebishwa. Kurekebisha makosa haya kutasaidia kuboresha style yako na uvaaji wako na pia inaweza kusaidia hata kupunguza matumizi yako katika…
Sababu 4 Zinazoharibu Style Yako
Inawezekana unapenda kuonekana stylish, unapenda kuvaa mavazi yanayovutia na kukufanya uonekane unaenda na mitindo, unanunua mavazi mazuri ya gharama lakini bado huoni kama unafanikiwa kufikia lengo lako, hii hutokea kwa kila mmoja wetu na sio wewe peke yako na hutokana na sababu hizi 4. Mawazo…
HOT TOPICS
We need to have some sort of bima ila for enjoyment. Yaani wanakata ka % ka mshahara kako unakua na card ukienda se… https://t.co/W9oDoaN2YY
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…