4 Fashionable Ways To Go Broke As A Woman
Katika Dunia kuna namna unaweza kufilisika lakini in a way mwenyewe unaona kwamba ni sawa sisi tunaita fashionably broke, kwamba unakuwa huna pesa lakini unaonekana vyema kimuonekano, which kimuonekano inaweza kuwa sawa ila kwa ndani si sawa. Leo tunakuletea namna 4 unaweza kuwa fashionably broke…
Muna Love Serving Looks After Surgery
Rose Alphonce a.k.a Muna love ni true definition ya new year new me ameingia mwaka mpya akiwa na new age na new body. Muna ambae miezi ya mwishoni ya mwaka 2021 alitangaza kuwa atafanya surgery 11 katika mwili wake, mpaka sasa tumejua surgery 3 tu…
Omotola Jade Rocked 3 Outfits On Her 25th Anniversary
Muigizaji kutoka Nigeria Omotola Jade na mumewe wamesheherekea miaka 25 ya ndoa yao in style, ambapo walivaa outfit tatu tofauti lakini pia haikuwa tu sherehe ya anniversary bali ilikuwa birthday ya mume wa Omotola aitwae Matthew Akeinde. First outfit ilikuwa ni hii lace off shoulder…
HOT TOPICS
The Hardest Part Of Being A Nigerian Bride Is To Comeup With A Bride Look That Wont Match With Any Of The Guest’s A… https://t.co/8vfNPS0IYg
FollowItaly Kumekucha Afromates #TheKardashian #TheKardashian wapo huko kwaajili ya the wedding of the year. Haya mnasubiri lo… https://t.co/kENoAG9RQg
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…