6 Best Looks We Spotted Last Week
The girls been serving looks, from casual to occasional wear, week iliyopita tumewaona watu maarufu mbalimbali wakiwa kwenye mionekano mbalimbali kutokana na sehemu walizokuwa wanaenda, as usual wengi wao walikuwa wamependeza kuanzia nywele, makeup, accessories, mavazi mpaka viatu wazungu husema head to toe. Baadhi ya…
Reviewing Enjoy Music Video By Jux ft Diamond Platnumz
Kama tunavyojua kuwa juma jux na diamond platnumz kwenye swala la kutoa videos nzuri ni swala la kawaida sana. Pia usisahau kwa miaka mingi juma jux amekuwa moja kati ya wasanii wa kizazi kipya ambao wanashikilia crown katika swala la mitindo na kila siku anazidi…
Reviewing Looks From Last Week
Imekuwa muda kidogo sinse tufanye review za looks za watu maarufu weekly na hii ni kutokana na kwamba mara nyingi looks zinakuwa so/so, kama haijajirudia basi ni za kawaida sana well this week imekuwa tofauti kidogo as kila tunapopita tumekutana na looks zinazovutia kwa namna…
Reviewing Gigy Money’s Birthday Photoshoot Looks
Gigy Money amesheherekea Birthday yake Ijumaa ambapo ametimiza miaka 26 na akiwa ametimiza miaka 10 katika industry ya mziki. Kama ilivyo kawaida Gigy aliandaa Birthday Photoshoot akiwa ame-serve looks kadhaa na tupo hapa ku-review looks hizo, Look ya kwanza ni hii blue ballgown yenye white…
Reviewing Looks From Behind The Gram Reality Show Launch
Kajala na Paula wamekuja na reality show yao ambayo imepiwa jina la “Behind The Gram” reality show hii itaonyesha maisha yao behind na social media. Walizindua reality show yao siku ya Jumatano, Hyatt Regency na tupo hapa ku-review mionekano yao. Paula alivalishwa na Rackel Stylish,…
Reviewing Nitongoze by Rayvanny Ft Diamond Video Looks
Nani ambae ana heart break na haijui huu wimbo? wimbo una trend na unagusa wengi, kama wengine mimi nilikuwa mmoja ya watu ambao walikuwa wanasubiri hii video itoke, kiukweli ime ni-disappoint kidogo nilijua itakua more of dancing video ila director kaamua kupita kushoto, sio mbaya…
Reviewing Haji Manara’s Birthday Party Looks
Its Capricorn season kwasasa watu walio zaliwa January wanasherekea kumbukumbu za siku za kuzaliwa kwao na mmoja kati yao ni Haji Sunday Manara a.k.a Dela Boss au El Buggati. Haji amefanya sherehe yake katika ukumbi uliopo Mlimani city, tupo hapa kukupa review ya nani alivaa…
Reviewing Jokate Mwegelo’s Birthday Outfit
Aliyekuwa mwanamitindo na sasa ni mwanasiasa, Jokate Mwegelo juzi alisheherekea siku yake ya kuzaliwa na kutimiza miaka 35, Jokate alifanya photoshoot kwaajili ya siku yake hii muhimu na sisi tupo hapa kufanya review ya muonekano wake katika photoshoot hio. alivaa suit ambayo ina flower detail…
Omotola Jade Rocked 3 Outfits On Her 25th Anniversary
Muigizaji kutoka Nigeria Omotola Jade na mumewe wamesheherekea miaka 25 ya ndoa yao in style, ambapo walivaa outfit tatu tofauti lakini pia haikuwa tu sherehe ya anniversary bali ilikuwa birthday ya mume wa Omotola aitwae Matthew Akeinde. First outfit ilikuwa ni hii lace off shoulder…
Rio Paul’s Virtual Global Birthday Soiree Fashion Review
Tukiendelea kuchukua tahadhari elekezi katika kujikinga na COVI19, tuliweza sheherekea birthday ya Tanzania’s male fashionista and stylist, Rio Paul kupitia his social media online. The virtual global birthday soiree haikuweza kamilika bila the best fashion statements and Afro’s review. Rio Paul A happy birthday it…
HOT TOPICS
Subscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Fahamu Zaidi Kuhusu Vazi La Vijiko Kutoka Kwa Harmonize
Mwanamuziki Harmonize ametoa wimbo wake mpya uitwao Attitude, katika music video ya wimbo huu Harmonize ameonekana akiwa amevalia vazi la leather lenye vijiko, uma na visu ( silverware/ cutlery ) Vazi hili limeonekana ku-trend sana wengine wakiwa wanalisifia na wengine kuliponda, tumemtafuta stylist na mbunifu…
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…