6 Times Ms Doris Showed Us How To Style Strap Dress With Shirt Underneath
Doris ni fashionista kutoka Tanzania ambae utampata instagram kwa nickname yake ya ms_ris_eddy Ni moja kati ya fashionistas ambao Tanzania ina pashwa kujivunia, yaani sio yule wa fashion za trend Doris yupo kipekee anajua kujistyle. Well leo tumekuletea mara 6 ambazo Doris ametuonyesha namna ya…
How Transform An Outfit With Little Touch’s
Weekend Imefika na as usual weekend huwa tunapenda kuwa kwenye casual na comfortable fits. Lakini hii haimaanishi outfit yako iwe bore, umeshawahi kufikiria ni vipi watu maarufu wanavaa tshirt na jeans lakini wanapenda mno? basi leo tunakupa tips za nini unaweza kufanya ku-transform outfit yako….
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish
Kwa wanawake warefu huwa ni shida kidogo kupata nguo zinazo wafaa ambazo ni stylish na hii hutokana na kwamba brands nyingi za mavazi huwa zina consider kimo fulani cha binaadamu na kusahau wale wengine ambao wamejaaliwa urefu au mwili mkubwa. Hivi karibuni mwanamziki Megan Thee…
Makosa Ya Style Yanayo Fanya Uonekane Cheap
Ninapenda hizi nyakati tunazoishi, I really do. You can be anything…anything you chose to be. Isn’t it just lovely. Unaweza kuwa a strong independent woman, a funky chic, boho with a touch of sexy, unaweza kuwa chochote ikiwemo kuwa cheap, miserable, low value, careless n,k….
The Rule of Three ( Minimum Of 3 Items On One Outfit )
Kwenye kuvaa au ku-style muonekano wako kuna tips mbalimbali mbazo wengi huwa hatuzijui au hatufuatilii. Moja kati ya tips hizo ni hii ya kuvaa si chini ya vitu vitatu katika outfit yako. Yes this tip huwa inatumiwa na watu maarufu wengi na ndio tip ambayo…
Vitu Vitano Unavyoweza Kufanya Ku-level Up
Najua wengi wetu tumeenda shule kuna wale wadada ulisoma nao, wakati unasoma nao walikuwa the true definition of basic. Ukimuona hakutetemeshi hakutishi(wasemavyo waswahili). Basi umemaliza shule, miaka kadhaa imepita then katika pitapita zako unakutana nae au unaona picha yake mtandaoni, wakati mwingine hata rafiki anakutumia…
Fashion Tips Kwa Watu Wenye Matege
Wakati tuna “Chit Chat” katika social networks zetu, baadhi ya afromates walitoa request za nini tuandikie na tips gani tuwape. Hili swali lilionekana kujirudia mara nyingi, wengi waliulizia fashion tips kwa mtu mwenye matege. Matege ni ugonjwa unaompata mtu au mnyama mwenye ukosefu wa vitamini D mwilini, hasa miezi ya kwanza ya maisha yake. Wengi…
7 Things To Do While You Are Stuck At Home During Quarantine
Wakati tukiwa tumezoea ikifika weekend tunatoka kwenda kwenye manunuzi, kufurahi na kujumuika na ndugu na marafiki kufanya usafi wa nywele zetu na kucha. Kwa sasa haiwezekani kutokana na uganjwa hatari wa Corona. Tumeshauriwa kukaa mbali na mikusanyiko na kama huna cha maana mtaani ni bora…
5 Tips On How To Be Classy And Stylish According To Lavidoz
Moja kati ya watu maarufu ambao wengi wanawapenda kutokana na mavazi yao basi ni mwanadada Lavidoz, Lavidoz ana mwili wa kawaida ( sio ile miili ya kutengeneza) na bado anavaa na kupendeza. Ambacho wengi tunavutiwa nacho kutoka kwake ni kwamba japo havai mavazi ya ghali…
HOT TOPICS
Happiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/VZ1jH2zJUg
FollowHappiness Magese Akionyesha Wanawake Warefu Namna Ya Kuwa Stylish: Kwa wanawake warefu huwa… https://t.co/689j7Yjcn0
FollowSubscribe for newsletter
* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!
Interviews
Maoni Ya Mbunifu Elisha Red Label Kuhusu Event Ya Miss Tanzania 2020
Tanzania imepata mlimbwende wake mpya ambae ataenda kuliwakilisha Taifa mwakani katika mashindano ya Dunia ya urembo. Tumeona sio mbaya kama tukifanya mahojiano na baadhi ya wabunifu, makeup artist na stylist ambao wametupa maoni yao kuhusu event hii. Hapa tunae mbunifu mkubwa wa mavazi ya kike…
Meet Eddie A Young Male Makeup Artist In A Female Dominated Industry
Anaitwa Eddie ( Makeup By Eddie ) ni mvulana ambae anafanya vizuri katika tasnia ya urembo, Eddie ni makeup artist tofauti na wengine Eddie yeye ni mvulana na kama ambavyo tunajua tasnia hii imetawaliwa sana na wanawake katika bara letu la Africa. Tumepata kujua mawili…
Husiyo Yajua Kuhusu Vaazi
Weekend hii tuliweza shuhudia maonyesho ya mavazi katika Tanzania Summer Festival iliyofanyika pale Double Tree Hotel. Tulivutiwa sana na kazi ya mbunifu chipukizi [pia stylist Vaazi na hivyo kuongea naye mwawili matatu juu ya kazi zake. AFRO: Umetambulika kama stylist anayechipukia na kufanya vizuri, waweza…
Feza Kessy Atuelezea Kuhusu Fashion & Style Zake
Feza Tadei Kessy ni Muimbaji, Muigizaji lakini pia ni mtunzi wa nyimbo lakini pia Fezza ni former beauty queen ambapo mwaka 2005 alikuwa Miss Dar City Centre, Miss Ilala & Miss Tanzania Runner up. Lakini pia alishawahi kuwepo katika Reality Tv Show – Big Brother Africa. Kwa…