SUBSCRIBE NOW

* Afromate kuwa wakwanza kupata updates zetu za kila siku!

Trending News

Subscribe Now

* You will receive the latest news and updates on your favorite celebrities!

Trending News

Mitindo

2022 Started On The Right Fashion Foot 

Tayari tumeshaanza kuipenda 2022, tukiwa ndio kwanza kwenye siku ya nne ya mwaka tumeona watu maarufu mbalimbali wakiwa wamevalia mavazi yaliyotuvutia. kitu kikubwa zaidi tulichopenda kwenye mavazi haya ni kwamba yameshonwa hapahapa Tanzania na wabunifu wetu, hii inaonyesha tunavyoendelea tutaona mengi zaidi na wataendelea kukua…

Fashion Cop

Zuchu Anahitaji Stylist ASAP 

Kwa sasa mwanadada aneongelewa zaidi katika anga ya muziki ni Zuchu, amesainiwa hivi karibuni na WCB ikiwa chini ya mwanamuziki Diamond Platnumz. Zuchu anafanya vizuri na nyimbo zake lakini sehemu ambayo tunaona iko wrong ni upande wa fashion. Anaonekana anapenda fashion na anapenda kujaribu lakini…

Mitindo

Meghan Markle Living In Colorful Outfits 

Kama hukusikia habari kwamba Meghan Markle na mumemwe Prince Harry waliamua kuhama kutoka katika royal family na kuanza maisha yao binafsi basi leo ndio tunakujuza. Well katika maisha u-royal kuna vitu vingi unakatazwa kuanzia mavazi, urembo etc mfano: Bright Colors Are Necessity For The Queen…